Ujasiri

Haya mazingira kwao vitu kama hivyo ni kawaida, asubuhi ukiwa unakwenda shule unapishana na nyoka kama watatu tofauti, unajua kabisa kona ile wako wakijani weusi wako pale. Ni maisha flani amazing, ukitoka shule njiani unaokota maembe fresh yaliangushwa na upepo wa adhuhuri.
 
Missing home village...maembe matamu mpaka kisogoni
 
Duh.. halafu huyo snake anashangaaa tu anawekwa kwenye target... nyambavu watu hizo target ni lazima iwe mita 30
 
Mkuu mshana jr,tu photos twako hua tuna dhihirisha jinsi ulivyo.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kumbe wa enzi zile nzuri tumo wengi . maisha yalikua matamu sana enzi zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…