Ujasiri wa kulala kwa wanawake mnaupata wapi wenzangu?

Ujasiri wa kulala kwa wanawake mnaupata wapi wenzangu?

Ni hatari sana,unalala unajiachia kabisa,tena yawezekana hulipi kodi,wala humtunzi inavyotakiwa huyo mdada,halafu unaenda unajiachia unalala,aisee.... unaweza ukaja ukapigwa risasi au ukaingiliwa kinyume na mabile pasipo na ridhaa yako.Take care man.... inauma sana,pale unakuta umempangia mwanamke chumba,halafu umerudi bila ya taarifa,unakuta kidume ndani kimejiachia,aisee.... lazima ujute,utakavyofanywa.
 
Sahihi mkuu
 
Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.

Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala nyumbani kwa mwanamke wako? maana mimi binafsi siwezi kabisa.
Kama ulikuwa unapishana nao unge wauliza,unatuuliza sisi kwani tulikuwepo??? Je kama ndio wanalipa kodi!!
 
Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.

Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala nyumbani kwa mwanamke wako? maana mimi binafsi siwezi kabisa.
Hakuna maajabu, kama ulisoma soma biashara kuna ile point inaitwa "Specialization and division of Labour" vijana wasomi ndio hu apply ile katika maisha yao ya uasherati. Ukiielewa vyema basi utapata jibu kwa ufasaha.
 
Kuna demu ambaye ni Mke wa pili wa jamaa moja hivi,nilikuwa natoka nae kwenye mji tofauti na tuliopo umbali wa 60KM siku moja nikawa na Nyege nikamwambia sina hela na ninahitaji hicho kitumbua akasema njoo home-basi mie nikaenda nikala mzigo mpaka asubuhi.
Nyege mbaya sana zinaweza kukupeleka kwenye majanga
 
Mwanamke sio wa kumwamini hata kidigo bora ukampige mashine huko maporini ila sio geto kwake,niliwahi koswa koswa kwenye geto la demu jamaa kaja na kikosi na silaha kama vile nilikuwa gaidi anaenda kuuwawa,bahati yangu siku hyo ndugu yake alienda mtembelea jamaa kafika usiku ikijuwa anakwenda kufumania kuvunja mlango anakutana na ndugu yake.kuanzia siku hyo nilikoma
 
Kuna wahuni wana roho ngumu mno, na kodi hawatoi wao.
Wanawake kwa kawaida hupenda wanaume wa aina tatu kama hujui

(1) wakumuoa (iwe kwa mkumbo au vyovyote iwavyo na akiamua wanaachana wakati wowote(haijalishi muonekano wake kikubwa atamtunza kumlea

(2)handsome
Huyu ni wamauzo nae kukutana na wanawake wezake ,huyu atatambulishwa kama rafiki tu wakawaida

(3)msuguaji au wasuguaji
Hili kundi linapendwa mno na wanawake na wanasauti Hawa usipime wakisema jambo mwanamke hachomoi

Kwahiyo hao unaowashangaa ndokazi Yao na hawana hela za lodge Wala guest
 
Back
Top Bottom