Ujasiri wa kulala kwa wanawake mnaupata wapi wenzangu?

Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.

Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala nyumbani kwa mwanamke wako? maana mimi binafsi siwezi kabisa.

Nimesikia "Jamaa zake" - au ni mawazo yangu
 
Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.

Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala nyumbani kwa mwanamke wako? maana mimi binafsi siwezi kabisa.
Hapo kwenye “Mwanamke wako” yaani wangu, mbona nalala tu hakuna shida. Sasa hayo mengine unawaza yanini wakati unajua ni vigumu kutambua kama ww ni Main Man au Sideman. Chamsingi toa huduma tu sio kwenda kunyandua na kupangusa ‘madako’. Ila tu nikwambie usilale kwa MWANAMKE, lala kwa MWANAMKE WAKO. Na bado hujasema[emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16]
 
Kuna mahali nilikua naishi,vjirani zangu ni mdada sasa mara kadhaa jamaa zake wamekua wanakuja na asubuhi napishana nao means hua wanalala.

Sasa najiuliza inawezekana kua comfortable kulala nyumbani kwa mwanamke wako? maana mimi binafsi siwezi kabisa.
Haahaa unaogopa kung'olewa kende kiongozi au kuna lingine?
 
Back
Top Bottom