Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,716
- 54,623
Uko sahihi,wadada wanafanya michezo ya hatari sanaUtakuta huyo dem anawanaume hata watano, na kila mmoja anaambiwa pale ni kwake na yupo peke yake. Na wakati huo wote watano kila mmoja anatoa pesa ya kodi kila mwezi, na anaacha pesa ya meza kila akija kulala