Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

Hahahaaa hii inanikumbusha "Jeans avae na nani Msuli akavae nani"

Wewe dada wewe, mambo? Upo? Kwa hiyo Jeans anavaa ujanani na msuli anavaa uzeeni?
icon10.gif
 
mamy have nough experience ya madem zetu hapo town.up and down

yeah ni kweli ila usichukie mawaridi yote kwa kuwa ulichomwa na mwiba wa muwaridi once...
wapo kibao wasichana wenye mapenzi ya dhati na wale ambao 'njururu' comes first....
 
Mmmmh! Naona kama hao wa hapo kwenye red kama wamezidi vile! :) Au ni kwa Dar peke yake?
 
yeah ni kweli ila usichukie mawaridi yote kwa kuwa ulichomwa na mwiba wa muwaridi once...
wapo kibao wasichana wenye mapenzi ya dhati na wale ambao 'njururu' comes first....
haaa,bh dont think i hate them, no nawapenda kwelikweli hivyohivyo ingawa sasa niko mwangalifu zaidi siingii ndani saaana kimapenzi ishaniumiza sana,sasa nachukulia for fun mpaka hapo ntakapokuja amini mmojawapo.
 
hivi niwaulize kweye hiyo % mnakutana nao afu bado mnaendelea kuwa nao au inakuwaje hapo??
inategemea chezo,likiwa kali unavumilia hivyohivyo akiwa mchovu halafu cheche unaanza kwingine.
 
sasa kumbe ni uamuzi wenu, mnalalamika nini.......

ndo maana nasema mchunwe mpaka mbaki mishipa na mifupa......
 
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamoja
icon10.gif
hapo kwenye redi ni noma mkuu!
Namjua fundi AC flani anamega watoto wabichi na mama zao,
kisa? anabadilisha magari kila siku.......ya wateja lakini.

Huwa anamega mama jioni akirudi kwenye mishe mishe zake,
Asubuhi anampa lift mtoto wa huyo maza kwenda shule, na anakandamiza vile vile....mapemaaa, kablda hajapelekwa shule.
 
duh.huyu jamaa ni noma.ina maana asubuhi na jioni kama dozi ya dawa mseto? haaa, sasa anakandamizia wapi...kwenye gari au kuna gest huwa zipo wazi tu mida yote 'wageni' wanafika
 
Hapo tu ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wanawake!
 
mbona kawaida hapo mtu kumega mwana na mamaye kawaida kabisa,ukiwa unammega mtoto na unampa vitu vizuri unashangaa maza anaanza kukuletea shobo na pozi kibao,ukianza na maza vilevile virce versa.
 
Mmmmh! Mzee ulishapitia nini?
 
Hapo tu ndipo huwa nashindwa kuwaelewa wanawake!

na nyie wanaume mnajielewa????

hapo kwanza hao wanawake hawajui huo ufirauni wa huyo bazazi, sasa huyo bazazi anayewachanganya kuku na mayai anajielewa???
 
tafuteni na nyie fwedha
. bht tutaendelea kuwageuza magodoro yetu, punching bags, unyanyasaji wa kijinsia na mengineyo maovu hadi mwalimu wenu atakapowaelewesha upya somo la kutafuta, kujitegemea, kuwa huru na kutopendelea shortcut ktk maisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom