bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
Iedit basi hiyo post yako maana bado yasomeka 'kuchafuliwa'.....
kuna mkanganyiko hapo husband!!!
EM kasema ....'kuchafuliwa
Lizy akamrekebisha akaesma....'kuchafuana'
Iedit basi hiyo post yako maana bado yasomeka 'kuchafuliwa'.....
kuna mkanganyiko hapo husband!!!
EM kasema ....'kuchafuliwa
Lizy akamrekebisha akaesma....'kuchafuana'
he hee,mkuu kitanzi chako hicho usigune,unavaa mwenyewe kama cheni saafi ya gold ngoja ianze kubana shingo.![]()
Mwana angalia ile post vizuri mi naguna huku natabasamu....Hujaona smiles zile...Mguno wa furaha ule...lol
kuna mkanganyiko hapo husband!!!
EM kasema ....'kuchafuliwa
Lizy akamrekebisha akaesma....'kuchafuana'
Okay...Nimekusoma mama
kujitundika msalabani manpenda wenyewe.......
nai refer point yako shem.ukimaanisha nini??
nai refer point yako shem.
sasa mie ndo nimegeuka kuwa kitanzi cha B?
nimeona ni kama vile umekumbuka kitu he he.Mwana angalia ile post vizuri mi naguna huku natabasamu....Hujaona smiles zile...Mguno wa furaha ule...lol
aah huko wenda wapi sasa nawesasa mie ndo nimegeuka kuwa kitanzi cha B?
aah huko wenda wapi sasa nawe
yameisha shemeji.......
by the way tukirudi kwenye point huyu dada mi naona kama alikua na king`ast ndani na mdingi kakazana kusumbua nje na mihoni ya prado akaamua kumtolea uvivu mzee.yameisha shemeji.......
Ila bottom line ndo ileile wajameni,
tukizikamata tu....na miprado hiyo......tunarudi zetu kwenye green pastures
sawa B?
by the way tukirudi kwenye point huyu dada mi naona kama alikua na king`ast ndani na mdingi kakazana kusumbua nje na mihoni ya prado akaamua kumtolea uvivu mzee.
ona sasa....
yaani nyie ni ngumu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana kukubali ukweli kwamba si kila mwanamke anashoboka na hizo kitu bana
vyovyote vile
hata mimi ushauri wangu kwenu ni kwamba muwe mnaangalia kwenye mapenzi ya dahti basi......
sio kulalama tu kila wakati ilhali mmeyataka wenyewe B!!!
problem ni kwamba tukizikamata hatukumbuki tena kurudi kwa hawa walituvumilia wakati tumechoka,tunaenda kutafuta madem matawi ya juu na ambao wanajua kweli kuzitumia hizo njuluku maana wao hawajui kama we mchovu tu,wanaona hili jinga fulani la mererani basi,hiyo oda yao mwenyewe utakomaIla bottom line ndo ileile wajameni,
tukizikamata tu....na miprado hiyo......tunarudi zetu kwenye green pastures
sawa B?
BT mmoja kwa kumi bana hapo bongo??ona sasa....
yaani nyie ni ngumu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana kukubali ukweli kwamba si kila mwanamke anashoboka na hizo kitu bana
problem ni kwamba tukizikamata hatukumbuki tena kurudi kwa hawa walituvumilia wakati tumechoka,tunaenda kutafuta madem matawi ya juu na ambao wanajua kweli kuzitumia hizo njuluku maana wao hawajui kama we mchovu tu,wanaona hili jinga fulani la mererani basi,hiyo oda yao mwenyewe utakoma
by the way tukirudi kwenye point huyu dada mi naona kama alikua na king`ast ndani na mdingi kakazana kusumbua nje na mihoni ya prado akaamua kumtolea uvivu mzee.
Hahahaaa hii inanikumbusha "Jeans avae na nani Msuli akavae nani"
asante B kwa ushauri....nimekupata vizuri tu apo.....😀
mamy have nough experience ya madem zetu hapo town.up and downkumbe u were clear, basi tuuuu.....
Hahahaaa hii inanikumbusha "Jeans avae na nani Msuli akavae nani"
eheee hebu nielezee hapo maana duh.....