JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
jman maneno yananiuma hayo
think twice... usijezeeka na hela zako wakafanya hivyohivyo, maisha safari ndefu
jman maneno yananiuma hayo
wewe na MKINDE hamna tofauti, hivi ni kwa nini mnapenda mtelemko sana? kama humtaki mtu wanini unakula vitu vyake? utajibeba.
Hahahaa... Ina maana jana hukujibu PM yangu kwa sababu mimi sio wa Kijijini?
Wadada wenye tamaa kama wewe wananikeraaaaaaaaaaaaaa! Samahani lakini kama nimekukwaza! Ila nimekereka sana maana hapo si pesa peke yake na tena huenda wala huyo jamaa asijali kuhusu pesa aliyokwisha kupatia, suala hapa ni kuumiza hisia zake. Hisia za huyo unayemuita mbaba! Ulijua ni mbaba sawa na babako kwanini uliendelea kumdanganya na kumpa moyo kiasi hicho? Nashindwa hata kuendelea kuandika maana kweli Beautifullgirl umenikera!
kakukera nini? kwani si maisha yake we unakereka lol watu wengine mnajipa temporary stress za bureeeee.
Mapenzi ni pata potea ina maana we hujahi umiza mtu ?
Kinachonikera ni hii tabia ya kula vitu vya watu na kisha kusema sina MAPENZI NAE KABISA, sasa kama huna mapenzi nae hizo pesa zake na vitu vyake unakula vya nini? Acheni hizo bhana, Mpwa tukutane kwenye PM naona hapa napata hasira tu
mabinti mna viranga?
Natamani kumtaja huyo mzee lakini nachelea kusutwa,
eti shosti ni nani huyo??
sipati picha akikuoa looooo ivi unkuwa unamuamkia shikamoo au??/
kakukera nini? kwani si maisha yake we unakereka lol watu wengine mnajipa temporary stress za bureeeee.
Mapenzi ni pata potea ina maana we hujahi umiza mtu ?
Sasa unahadithia ili uonekane mjanja endelea na biashara ya utapeli me nakuona laghai wala hujui maana ya mapenzi na kupenda pole
And your point is??
my point z assenal wamefungwa 8 - 0
kumbe umejua!
Unaweza kupika pitiku wewe? mtori?
Unajua wahenga waliposema, "The way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea!!!