Ujana ale na nani Uzee uniachie mimi?

Ujana ale na nani Uzee uniachie mimi?

Ukitaka kula lazima uliwe....Prezdaaaaaaaaaaaaaa. Kama ulimdanganya yote hayo ili kupata pesa yake unataka tukushauri nini????? Mbona hukuwahi kunitumia hata bk2 ya vocha????????????????? Waswahili walisemaaaa "Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga" Ngoja niwakaribishe dada zako waje kukushauri Snowhite, Kaunga, Blue G, Nyamayao, Evelyn Salt, Mamndeny, gfsonwin na wengine wengi wa humu jukwaani.
Tamatheo please!soma comment niliyomwandikia Mr Rocky,am i asking for too much?
 
Last edited by a moderator:
Sasa Naanza Kuelewa Kwanini Wanaume Humu Na Mitaani Hawataki Kuoa Wasichana Wadogo,yaani Wasichana Wa Sasa Kitu Tamaa Mmeweka Mbele Bila Kuogopa Matokeo Ya Hizo Tamaa Zenu!na Kubwa Kuliko Yote Ni Kwamba MISHIPA YA AIBU MLIKATWA YAANI HAIFANYI KAZI HATA KIDOGO! Pole Sana Huyo Ujue Unae Atakuganda Kama Luba!
 
Mr Rocky hebu niache bana
karibu tukate mayi!kitu cha ngisi wa kuchoma na ndyofu oh !shaurilo!
hapa labdamwite Blaki Womani , Mamndenyi KOKUTONA, na SnowBall
waliobaki tuacheturest in peace please!
UTUWACHE!,kwa leo tuu!angalau yanikwa jioni ya leo tuu!
hope yu dont mind ryt?will mek up to yu mwaya!as for now please!
snowhite my dear nimeakuacha aise sitakuuliza tena maana naona kila siku tunarudia yale yale na kusema yale yale na wanafanya yale yale ya kila siku
Bora sometime kutoumiza kichwa maana unatumia muda kushauri na then anakuja mtu mwingine na kitu kile kile anaomba ushauri
endelea kula raha mpendwa jioni hii usijiumize kwa stress bure
 
ahsante my dear!ahsante sana !
enhe nipe ramani?wapi leo?
 
Tulia bibie muzee ainjoy ubint wako we si ume enjoy pesa zake kwa hiari, ukimkimbia sijui litakalo kukuta.
 
Kinachonikera ni hii tabia ya kula vitu vya watu na kisha kusema sina MAPENZI NAE KABISA, sasa kama huna mapenzi nae hizo pesa zake na vitu vyake unakula vya nini? Acheni hizo bhana, Mpwa tukutane kwenye PM naona hapa napata hasira tu

Alafu madhara yake ni makubwa ya kula vya watu vingi kuliko uwezo wako maana akitemana nae tena huyo jamaa akirudi kwa huyo mpenzi wake anakuta maisha si kama yale aliyokuwa anakula kwa huyo jamaa wa uarabuni na mwisho wa siku atatafuta mwingine na huyo mwingine ukute ni mjanja wa mjini atatoa service mwanzomwanzo alafu anakula mzigo anatoswa. Kuna wakati mabinti wakubaliane na hali halisi kama unakula vya watu basi na wewe uliwe unless kama mwenyewe amejipendekeza hapo utafanyaje utazila tu
 
Ila jitaidi mueleze ukweli kama ni muelewa atakusamehe na mtaachana kwa amani ukichelea basi ndo unavyozidi kulikoroga
 
Dah...!

Hizi siku mbili jana na leo...hata nimeshindwa kushangilia vyema ushindi wa Real Madrid.

"Nikiona mwenzangu anaibiwa nahisi kama naibiwa mimi,
kwa hiyo miaka kadhaa ijayo ndo mniulize ntaoa lini. #badoniponiposana " - mwanaFA
 
bora mie ninaeukubali umaskini wa nyumbani kwetu,hata nikilala njaa siwazi juma akija nidai itakuwaje!!!!!!!!!mabinti wa sasa punguzeni tamaa mbona mnakua kenge ambae kusikia hadi damu zimtoke masikioni
 
Kila mla chamwenzie na chake pia huliwa...sasa zamu yako itafika Yakuliwa utulie tuli Kama unanyolewa..
 
Umeshafanya hatua moja muhimu, kujua ufanyalo ni baya na unaomba ushauri, hongera sana.

Umeshamlostisha baba wa watu, usiendelee kupokea pesa zake unless ubadili msimamo wako na uanze kumpenda.

Cha kufanya, kubali ulibugi, huna haja kumwambia kama huna guts, funga hilo li akaunti lako na ubadili namba za simu. Fanya juu chini ukate nae mawasiliano. Jipe moyo kuwa ameshakusaidia sana imetosha. Kwanza mama ameshasema atakulipia chuo unahngaika nini mdogo wangu?
 
It is too late, asubiri ile timu ya Angola iliyoitoa Simba kwenye michuano ya club bingwa Africa
 
Wakati unapokea pesa zake hukujua kuwa ni mzee? Jamani mi nasema hiki kizazi cha sasa sijui wanajiita dot.com, ni mungu mwenyewe aingilie kati awaonee huruma. Kizazi hakiambiliki hiki, kizazi kinajua kila kitu, kizazi balaa. Mungu shusha neema yako juu ya hiki kizazi.
 
Alafu madhara yake ni makubwa ya kula vya watu vingi kuliko uwezo wako maana akitemana nae tena huyo jamaa akirudi kwa huyo mpenzi wake anakuta maisha si kama yale aliyokuwa anakula kwa huyo jamaa wa uarabuni na mwisho wa siku atatafuta mwingine na huyo mwingine ukute ni mjanja wa mjini atatoa service mwanzomwanzo alafu anakula mzigo anatoswa. Kuna wakati mabinti wakubaliane na hali halisi kama unakula vya watu basi na wewe uliwe unless kama mwenyewe amejipendekeza hapo utafanyaje utazila tu

n tamaa2 na umaskin lakin alinifata yy nakunpnda yy
 
Umeshafanya hatua moja muhimu, kujua ufanyalo ni baya na unaomba ushauri, hongera sana.

Umeshamlostisha baba wa watu, usiendelee kupokea pesa zake unless ubadili msimamo wako na uanze kumpenda.

Cha kufanya, kubali ulibugi, huna haja kumwambia kama huna guts, funga hilo li akaunti lako na ubadili namba za simu. Fanya juu chini ukate nae mawasiliano. Jipe moyo kuwa ameshakusaidia sana imetosha. Kwanza mama ameshasema atakulipia chuo unahngaika nini mdogo wangu?

asante kwa ushaur mzuri,,nitafanya hvo
 
Kama ukipanda bangi unategemea kuvuna zabibu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom