Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
- Thread starter
- #41
Wadada wenye tamaa kama wewe wananikeraaaaaaaaaaaaaa! Samahani lakini kama nimekukwaza! Ila nimekereka sana maana hapo si pesa peke yake na tena huenda wala huyo jamaa asijali kuhusu pesa aliyokwisha kupatia, suala hapa ni kuumiza hisia zake. Hisia za huyo unayemuita mbaba! Ulijua ni mbaba sawa na babako kwanini uliendelea kumdanganya na kumpa moyo kiasi hicho? Nashindwa hata kuendelea kuandika maana kweli Beautifullgirl umenikera!
m sorry but imenitokea tayar sina cha kufanya