Ujana ale na nani Uzee uniachie mimi?

Ujana ale na nani Uzee uniachie mimi?

Mwenyewe unavyoongea unajiona mjanjaaa!!! Hivi umeshwahi kujiuliza huko Arabuni jamaa anafanya kazi gani hata wewe utamani kuila hela yake kirahis rahisi hivyo?! That's one! Second, hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini jamaa anatoa hela kirahis rahis tu wakati hata kukutana na wewe hajawahi?! Au unamuona kama ----- fulani hivi ndio maana jamaa anachomoa tu!!! In addition, hivi umeshawahi kujiuliza how come jamaa at the age of 48, bado yupo single wakati wakati uwezo anao?! Anyway, maswali ya kujiuliza yapo mengi lakini yote hayo yanaashiria kitu kimoja tu! Jamaa SIO FARA na anafahamu anachokifanya!! Kuna watu huwa wanafanya mambo ambayo unaweza kuhisi kama ni mafara fulani hivi kumbe wanafahamu wata-deal vipi na situation mambo yanapoenda kinyume!! Sasa wewe mwache aje halafu umletee u-CBE/IFM kisha uone vumbi la zee la umangani!
 
Itakuwa jini hilo, tena ni wa uarabuni!!!!!!!, ha ha ha ha Lazima uliwe jiandee tu kutoa shukrani kwa pesa ulizokuwa unapewa
 
::
Mentor
Oa tu sasa hivi,,maana hao wanaokuja baadae wanaanza usaliti wakiwa tumboni.
=
ukitaka kuoa tafuta wanawake wanaoikala vijijini ,hawa wa vyuoni nuksi wali balaa.
 
Last edited by a moderator:
The only way in this universe to train a terrorist is a woman and a kid....Confucius.
 
Huna ujanja hapo, mzee pesa ipo atakusaka tu. Sababu adress yako anayo na jina lako pia, tena la kuzaliwa. Subiria moto uliouanzisha uje kupaliwa mkaa na jibaba, aibu yako aibu yetu? Jibu: aibu ....mwenyewe.
 
sasa wewe unampenda nan maana hata huyo unae date nae humpendi na huyo beiby wako mpya pia humpendi..we msikilizie tu aje hapa..akunyoe manyoya hayooo...principle ni hii AFTER U HAVE ENJOYED BENEFITS YOU MUST INCUR COSTS..nothing is for free in this world hata local channels tu tunalipia...over...
 
Aaah..! Hizi tamaa nyingine jamani..!
 
Wewe jiandae kuliwa kama samaki tu. Ndio maana mapenzi ya wanaume watu wazima na hivi vibinti vitoto sitaki kabisa. Suluhisho ni shikamoo jazi wa kiume kutafuta mashikamoo jazi wanawake (sio wasichana) tu.
 
Ahh ngoja nirudi kwenye jukwaa la siasa tu nadhani hizi hasira za asubuhi asubuhi zilizotokana na mada za hivi vibinti viwili vya chuo zitafaa kupunguziwa kwenye siasa tu.
 
m sorry but imenitokea tayar sina cha kufanya

Cha kufanya mdogo wangu ni kuwa tu mkweli. Mwambie ukweli wote hata kama ni mgumu kiasi gani. Tena mweleze huo ukweli kabla hajafunga safari kuja kuwaona "wakwe".

Tatizo lako kama ulivyosema mwenyewe ni tamaa ya kutaka maisha yaliyo juu ya uwezo wako/wazazi wako. Tena hilo wazo la kuendelea na masomo ya juu kwa kutumia pesa zake liondoe kabisa. Huo ni utapeli. Soma kwa pesa ya wazazi wako kwani umesema mama anaweza kukusomesha. Ishi na fanya matumizi yaliyo ndani ya uwezo wako. Kumbuka tu kuwa mazoea huzaa tabia.
 
Kura uriwe!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We subiri kuvunwa tu na grand pa . Hamna namna . Lasivyo tapika vyote ulivyokula.
 
Last edited by a moderator:
Endelea tu,wajiona mjanjaaa eeh..ipo siku utakutana na wajanjuzi..
 
Binti mdogo umekubuhu kwa u.m.a.l.a.y.a, shame on yuuuu.. Kajiuze kama m.a.l.a.y.a wengine tu huna jipya!
..
Kahaba endelea kufanya umalaya mpaka kwenye intanet (rose mhando)
 
wabongo bwana!!! mnashauri au mnalaumu? mtu ameshakosea cha msingi ni kumpa ushauri na sio kulaumu tu. beautifullgirl inatakiwa uridhike na ulicho nacho usipende maisha ya juu kupita uwezo wako matokeo ndio hayo kumbe mama ada anakulipia uridhike na hilo. cha msingi jitahidi usionane nae atakapokuja bongo then badili namba ya simu na email na usijibu email zake, yaani usiongee nae lolote utamzidishia machungu. na usirudie tena maishani mwako
 
funga akaunti yako! Badili laini!!,vp akiwa jini itakuwaje?, itabidi uokoke!for the name of jesus

kisha usirudie kufanya hayo kwa watu usiowajua. Majuto ni mjukuu. Tamaa mbele mauti nyuma. Isitoshe wewe una shida gani mamam yako bado anakusomesha? Maisha ni safari ndefu. Make a u turn to jesus. Mwambie huyo mtu umebadili mawazo na badili kwelikweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom