akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,193
- 1,810
huyu jaji he/she mbona aanatisha hivi?
wewe jamaa uliyeweka hiyo picha humuuuuuuuu, amekupa ridhaa yakeeee lakiniiiiiiiiiii, angalia bwana ooohoooo uta:A S-key: uombe :help:
View attachment 26845Ujaji mgumu jamani ukimtazama Mheshmiwa Jaji Mama Angela Kileo hapo hajajiremba kitu chichote hakuna cha kusuka hata twende kilioni, hakuna wanja wala lipshine wala mkufu wala make up ya aina yeyote wala nini sijui perfume! Nadhani hana muda ni kupitia vifungu vya sheria tu. Nenda kwa Wanasihasa sasa!urembo kama wapo ktk kitchen party!
Hiyo kwenye nyekundu ndio nini? tunaomba tafsiri.
umeshawahi kumuona mhandisi mwanamke???
Siku hizi hata ukienda polisi post utashangaa kuona mamiss wazuuuri wamevaa gwanda za njagu. Utatamani uwe unarudi rudi kituoni japo kuosha macho!
Sidhani kama huwa wanamaliza depo kihalali!
Hakuna wa kufungwa hapo na yeye ni Jaji mwanasheria anajua kuna FREEDOM OF EXPRESSION na zilizowekwa ni Fair Comment tupu! Picha yake haijachukuliwa from a private place, nyumbani etc, imechukuliwa ktk public ndiyo maana akiwa ktk mavazi ya kazi! Kazi ngumu hii ona urembo wa wanasiasa Waziri na Mkuu wa Wilaya, urembo tele Sophia Simba and Sophia MjemaView attachment 26858View attachment 26859