Uislamu ni project ya wakatoliki

Swla la miaka sio ishu inaezekama kakosea lakini context ni ile ile!!mkatoliki ndio alianzisha uislam kabisa!!

Uislam Kwa mkatoliki sio threat kama uprotestant!!
mi sina neno mkuu -- 1924 ndo imenistaajabisha
 
mi sina neno mkuu -- 1924 ndo imenistaajabisha
1924 ni mwaka Quran imekusanywa iwe moja na mfalme Fuad wa misri ,mwaka 1985 ndio Saudia Arabia wakaikubali

Kabla ya hapo Quran ilikuwa tofauti tofauti ,ndio maana zilichomwq na kuundwa hii moja

Hii historia HUIJUI?
 
Waislamu mna roho mtakatifu ?
 
1924 ni mwaka Quran imekusanywa iwe moja na mfalme Fuad wa misri ,mwaka 1985 ndio Saudia Arabia wakaikubali

Kabla ya hapo Quran ilikuwa tofauti tofauti ,ndio maana zilichomwq na kuundwa hii moja

Hii historia HUIJUI?
Uislamu ni dini ya juzi tu hapa

Quran imetengenezwa juzi tu hapo Al Azhar University mwaka 1924
mimi nimeisoma hii comment kama ilivo mkuu -- haikumake sense, wewe ni mtaalamu sana emu iangalie ina make sense?
 
mimi nimeisoma hii comment kama ilivo mkuu -- haikumake sense, wewe ni mtaalamu sana emu iangalie ina make sense?
Ndio Mimi ni mtaalamu wa historia,ndio maana nimekwambia karudi kasome historia

Quran unayoiona leo inaitwa hafs , imetengenezwa hapo misri kwenye chuo cha Al Azhar University,1924 ,kabla ya hapo kulikuwa na Quran tofauti tofauti na zilichomwa moto zote,
 
Reactions: Lax
nimekupata mkuu
 
povu la nini? Fahamu asili ya dini yako na kuwa mpole, ukweli ndio huo
 
You must be joking
 
Dawa ishaingia tayari
dawa gani hiyo? yani ww una nn na cha kunitibu mimi..soma historia yangu hapa JF ujue mimi ni nani. Huna maarifa hayo unayojidhania..kakojoe ukalale
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo

Twende taratibu mwisho utanielewa

Luka 1:15
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.

Kwa andiko hilo wewe unakubali kuwa Yohana amezaliwa na dini?
 
Nimekuelewa mkuu wewe umeulezea ukristo Kwa njia ya Historia za tawala mbalimbali na Mimi nilielezea ukristo Kwa njia ya Bibilia
 
Unauliza swali la kitoto sana. Hata wewe japo ni Kafiri lakini bado ni Mja wa Allah.

Makafiri wa Makkah walikuwa wanamjua Allah ni nani, na walipwekesha katika uumbaji na malezi ila wakamshirikisha katika ibada, yaani wakawa wanawaomba miungu yao kinyume na Allah.

Bali, pindi walipikuwa wakifikwa na madhila makubwa hasa katika safari zao za majini (kwa majahazi) walikuwa wanamtaka msaada Allah.

Ziada ni kuwa Abdullah maana yake ni Mja wa Allah.

Leo nilitaka nisome tu maoni ya wadau, maana umeandika maada ya uongo mpaka mtu unapata uvivu kujibu.
 
1924 ni mwaka Quran imekusanywa iwe moja na mfalme Fuad wa misri ,mwaka 1985 ndio Saudia Arabia wakaikubali

Kabla ya hapo Quran ilikuwa tofauti tofauti ,ndio maana zilichomwq na kuundwa hii moja

Hii historia HUIJUI?
Kuna mada kuhusu UISLAMU uliikimbia, naona huu ujinga unauleta tena na huku. Qur'aan imekusanywa tangu kipindi cha maswahaba.

Kuna vitu unachangganya, unachangganya Hati na Qur'an yenyewe.

Watu tuna mpaka Tafsiri za Qur'an za miaka elfu nyuma.

Shida Wakristo sio Wasomi na Wala hamfanyi utafiti, mnajichukulia chukulia tu mambo halafu mnayasambaza mwisho wa siku mnaleta vichekesho huku.
 
Mm nikimbie mada ? Utakuwa unanifananisha , waislamu ndio hamna elimu kuhusu dini yenu maana mmedanganywa mengi
 
dawa gani hiyo? yani ww una nn na cha kunitibu mimi..soma historia yangu hapa JF ujue mimi ni nani. Huna maarifa hayo unayojidhania..kakojoe ukalale
Huna historia yoyote ,dawa ishakuingia
 
Mm nikimbie mada ? Utakuwa unanifananisha , waislamu ndio hamna elimu kuhusu dini yenu maana mmedanganywa mengi
Sasa wewe msabato masalia una elimu gani zaidi ya copy & paste..GIGO
 
View: https://x.com/Acts17David/status/1919241421996863996
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…