Uislamu na Adhabu ya kifo ni ubatili wa Imani ya haki

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Hello JF,

Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa pekee yao.

Naona Kama dini ya haki kwenye Sharia inajidhalilisha au mnaonaje?

Hivi Kuna dini ya haki na kweli itapendelea Adhabu ya kifo?

Je uislamu hausiki na amri kumi za Mungu?

Povu ruksa

Wabillahi tawfiq

Wadiz.
 
Japo hujasema ni wapi...Ila mtu anayepaswa kuuawa kwenye uislam ni yule aliyeua mtu,na ridhaa ya kuuawa itatolewa na ndugu wa aliyeuawa,ndugu wakisema tumemsamehe muuwaji wa ndugu yetu basi mamlaka haipaswi kumuua kwa misingi ya sharia
 
ile ya kupiga mtu na mawe je ikoje hio? naona kama uislamu ni dini ya kikatili sana inapokuja Sharia mfano kukata mtu mkono au kiungo kingine, hivi wana be Mungu ambae yupo Saudia au ni huyu huyu wetu na Dunia kwa ujumla,?
 
Hello JF,

Hivi asili ya watu wanaomriwa kuuwa au kunyongwa baada ya kukutwa na makosa ya yanauoadhibiwa na nguzo za kidini je, wapo wa Royal family au ndio wale makabwela wale wenye African origin? Mwenye history ya hukumu hizo aweke bayana kama hizo Adhabu hazikuwa kwa wenye asili ya Africa pekee yao.

Naona Kama dini ya haki kwenye Sharia inajidhalilisha au mnaonaje?

Hivi Kuna dini ya haki na kweli itapendelea Adhabu ya kifo?

Je uislamu hausiki na amri kumi za Mungu?

Povu ruksa

Wabillahi tawfiq

Wadiz.
When it was raining brains, you had an umbrella 😍😍
 
ile ya kupiga mtu na mawe je ikoje hio? naona kama uislamu ni dini ya kikatili sana inapokuja Sharia mfano kukata mtu mkono au kiungo kingine, hivi wana be Mungu ambae yupo Saudia au ni huyu huyu wetu na Dunia kwa ujumla,?
Ile ya kupiga mawe mzinifu ni Sheria ya taurati na si ya QUR'AN, waislam wanatangishwa na fitna ya kitu kinaitwa hadithi za mtume ambazo si halisi Wala sharia,mzinifu kwa mujibu wa Quran ni kupigwa bakora mia,na Hilo ni baada ya aliyetoa Madai kwamba Fulani kazini kuleta mashahidi wanna walioshuhudia zinaa ilifanyika,ama kukata mkono ni Sheria kwa mwizi,mtu akithibitika kuiba akatwe mkono,ni Sheria ya kiislam/QUR'AN,uislam hutatua chanzo Cha tatizo,kuepusha uzinzi umeweka mavazi na Rai ya kuinamisha macho chini unapoona mzigo unapita,mwizi ukimkata mkono wa kwanza hawezi hatarisha mkono wa pili kwa kuiba tena
 
sidhani mi shida yangu ni hio angle ndio inanitatiza na kutolaani utumwa na mateso ya dhidi ya waafrika
Uislam unahamasisha kuwaachia huru watumwa na kuwamilikisha Mali katika kipindi kile Cha mtume 630AD,utumwa unaozungumzia umefanyika 1500AD-1800,waanzilishi na wafanyaji wakiwa wareno/wazungu
 
Back
Top Bottom