AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,517
UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...
Umeweka utaratibu katika kila jambo...
mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...
Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...
Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...
ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...
KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...
LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...
KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...
UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...