Uionapo hii tafadhali fungua mpendwa unahitajika msaada wa haraka

Naijua story inayofanana na hii ya mtu wangu wa karibu,in short huyo jamaa hafai kusamehewa,ukimsamehe tu ukaolewa nae ujue huyo mwanamke na mtoto wake wa nje atakuwa kama tanzi ya mwiba kohoni.let him go for good!
 
Hivi wapenzi, mtu unakua na mpenzi wa toka enzi hizo mko vijana anaondoka anaenda kusoma anarudi mnaanza tena mahusiano anakwambia anataka mzae unamwambia subiri kidogo nimalizie mambo Fulani, anasema poa hazipiti siku unamkuta na demu anakwambia huyu tulikutana tu sio mtu wangu kivile unavumilia, zinapita siku unaambiwa yule dada ni mjamzito unaumia lakini unachukulia poa si unampenda mkaka? Dada anajifungua mtoto wa kiume ndugu zake waliokua karibu na wewe wote wanahamia kwa yule dada wewe unabaki kung’ang’aa macho maisha yanaendelea, huyo mkaka akikufuata siku moja moja anakubembembeleza oh yule alijibebesha mimba na mimi siwezi kuacha mtoto wangu ateseke unakubali akishapata anachotaka humsikii mpaka akiwa na hamu na wewe.

Inapita kipindi huyo mzazi mwenzie anaanza kuonyesha her true colour watu wote wanachoka na kutoamini ni huyu kweli si ndugu si baba mtoto Mwenyewe, wanaendelea kuvumilia wakijua kapitiwa kumbe sivyo hivyo ndivyo alivyo siku zote alikua ana pretend tu ndugu wanaanza oh kaka bora yule Fulani huyu balaa kabisa, huku wewe tayari ulishaanza kumtoa akilini kidogo kidogo si mnajua wapendwa kumtoa akilini uliempenda kwa dhati ni ishu ndio anakuja mazima nisamehe mpenzi, sweet, honey, darling, sweet ukwaju, supaleta, fanta orange na mengine kibao nilipotea nikaingia pabaya lakini kuanzia leo nimekoma nitakua na wewe tu mpenzi anaongea na machozi yanamlenga akijutia yote aliyokufanyia ikumbukwe kuwa wewe umeshaanza kumtoa moyoni mwako. Swali linakuja kwenu great thinkers Je huyu mtu anafaa kupewa nafasi nyingine atakua amejirekebisha kweli au akipewa anaweza rudia yale yale nafikiri kati wote msomao hapa kuna mtu ashakumbwa na hii hali alifanyaje fanyaje?

Poleni kwa maandishi mengi kama ukiweza yasoma yote itakua vizuri tunaomba maoni yako mpendwa

Maty mbona majibu na ushauri unao tayari!!

unaona hii maneno ni yako mwenyewe,.... "If you love something, set it free. If it comes back, it was, and always will be yours. If it never returns, it was never yours to begin with".

sina nyongeza.
 
Matty, mshauri huyo dada ampige BAN ya maisha. Amemfanya kuwa kitambaa chake cha kufutia machozi.
 
Hivi wapenzi, mtu unakua na mpenzi wa toka enzi hizo mko vijana anaondoka anaenda kusoma anarudi mnaanza tena mahusiano anakwambia anataka mzae unamwambia subiri kidogo nimalizie mambo Fulani, anasema poa hazipiti siku unamkuta na demu anakwambia huyu tulikutana tu sio mtu wangu kivile unavumilia, zinapita siku unaambiwa yule dada ni mjamzito unaumia lakini unachukulia poa si unampenda mkaka? Dada anajifungua mtoto wa kiume ndugu zake waliokua karibu na wewe wote wanahamia kwa yule dada wewe unabaki kung’ang’aa macho maisha yanaendelea, huyo mkaka akikufuata siku moja moja anakubembembeleza oh yule alijibebesha mimba na mimi siwezi kuacha mtoto wangu ateseke unakubali akishapata anachotaka humsikii mpaka akiwa na hamu na wewe.

Inapita kipindi huyo mzazi mwenzie anaanza kuonyesha her true colour watu wote wanachoka na kutoamini ni huyu kweli si ndugu si baba mtoto Mwenyewe, wanaendelea kuvumilia wakijua kapitiwa kumbe sivyo hivyo ndivyo alivyo siku zote alikua ana pretend tu ndugu wanaanza oh kaka bora yule Fulani huyu balaa kabisa, huku wewe tayari ulishaanza kumtoa akilini kidogo kidogo si mnajua wapendwa kumtoa akilini uliempenda kwa dhati ni ishu ndio anakuja mazima nisamehe mpenzi, sweet, honey, darling, sweet ukwaju, supaleta, fanta orange na mengine kibao nilipotea nikaingia pabaya lakini kuanzia leo nimekoma nitakua na wewe tu mpenzi anaongea na machozi yanamlenga akijutia yote aliyokufanyia ikumbukwe kuwa wewe umeshaanza kumtoa moyoni mwako. Swali linakuja kwenu great thinkers Je huyu mtu anafaa kupewa nafasi nyingine atakua amejirekebisha kweli au akipewa anaweza rudia yale yale nafikiri kati wote msomao hapa kuna mtu ashakumbwa na hii hali alifanyaje fanyaje?

Poleni kwa maandishi mengi kama ukiweza yasoma yote itakua vizuri tunaomba maoni yako mpendwa

If you love something, set it free. If it comes back, it was, and always will be yours. If it never returns, it was never yours to begin with - Maty
 
Aisee mi bado sioni mantiki ya hii thredi kuweko huku cheat chart...
 
Dena acha uvivu my dia!! umeamkaje lakini??

Maty, kumrudia nisawa na kuoga then ukabadili nguo zote ila ukavaa chu** ile ile uliyoshindia kutwa nzima!! kwangu mie angeeishia kuoga tu ila mjini asingeingia!!

habari ndio hiyo

ndo wapi uko Susy?
 
Wapenda nashukuru kwa ushauri jana nilishindwa kabisa kuingia jf kama mnavyojua umeme wa mgao, dah hii nnji hii
 
Maty eeh..! Naomba kukuuliza, ulishawahi kuyarudia matapishi baada ya kujitahidi kujizuia kutapika bila mafanikio?
 
Sijawahi mpenzi ila mapenzi ni magumu, hasa ukiwa unamshauri mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom