PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni maoni yake yaliyowafurahisha, lakini Tz ni taifa huru kama ilivyo uingereza. kama sisi hatuwezi kuwaagiza wafanye jambo kwaajili ya watu wao hata wao hawawezi kutuagiza jambo kwaajili ya watu wetu. Tumeshavuka huko.
Nilikuwa nakusoma sana humu kumbe nilijipotezea mudq tu. Kwani Israeli, China na urusi zilizotajwa kwenye hotuba yao siyo nchi huru? Au ni uhuru upi unaoringia huku ukiwa mwanachama wa kamati na umoja wa mataifa?
Hebu tafutq muda uyasome masharti ya kuwa mwanachama wa UN na idara zake kisha utuambie Tanzania ina uhuru unaouongelea?
Ishauri nchi yako ifuate na kuyaishi waliyokubaliana huko UN vinginevyo jiondoeni huko.
Msipime upepo huu wa nchi zenye ushawishi mkubwa duniani mtaangamia soon.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ni maoni yake yaliyowafurahisha, lakini Tz ni taifa huru kama ilivyo uingereza. kama sisi hatuwezi kuwaagiza wafanye jambo kwaajili ya watu wao hata wao hawawezi kutuagiza jambo kwaajili ya watu wetu. Tumeshavuka huko.
Don't forget kwamba hata Iran na Venezuela ni mataifa huru.
 
Uingereza ndio chanzo cha mzozo wa Palestine na Israel, ndio waliokuwa wanatawala eneo lile la Palestine kama wakoloni sasa wanashindwa kuutatua. Wameshindwa Gaza wataweza Tanganyika? Hata hapa Tanzania uingereza ndio chanzo cha mgogoro pale Zanzibar.
 
Don't forget kwamba hata Iran na Venezuela ni mataifa huru.
Ni tofauti kabisa na sisi, huku kwetu mlalamikaji ni chadema ya TAL na kule Venezuela na Iran walalamikaji ni Marekani na Israel, tofauti kabisa buana!!!.
 
Ni tofauti kabisa na sisi, huku kwetu mlalamikaji ni chadema ya TAL na kule Venezuela na Iran walalamikaji ni Marekani na Israel, tofauti kabisa buana!!!.
Marekani na Israel huo ni umwamba tu wa kuziingia nchi, internal politics zilivyokuwa Venezuela hazina tofauti kabisa na za TZ. Walalamikaji wa TZ wanatoka nyanja tofautitofauti though na CHADEMA ni moja ya walalamikaji, this is a very good excuse kama nchi ingekuwa na resources za maana wababe wangeshaingia kitambo ila hapa kinachokuja kufanyika ni kumbinya Samia mpaka anye utumbo.
Very soon atakunya utumbo.
 
Hata akistaafu, hili litamfuata hadi siku anaingia kaburini! uliza akina DURTETE kwani walikuwa madarakani walipokamatwa?
TENA itakuwa powa, maana baada ye yeye kuondoka anakuja msiyempenda mheshimiwa sana TAL Rais wa JMT
Na tutazitaifisha Mali zake alizoibia watanganyika hasa zile zinazoonekana zilizoko bara
 
Wachague wadili na Pascal au wawajibu kuhusu mauaji waliyofanya October 29
 
Waambieni kwanza wakafanye uchunguzi huru huko Gaza ambako watoto wameuliwa kwa mabomu na waliosalia wanakufa kwa kukosa chakula.

Tanzania ni nchi huru isiyofungamana na upande wowote. Ina Katiba yake ambayo inatoa mamlaka kwa Rais kuunda tume ya kuchunguza jambo lolote.

Tuache kuwashobokea hawa wakoloni wetu. Hata wenyewe mbkna wana shida nyingi tu? Wala sisi hatujawahi kuitwa kwenda kuwachunguza!!
 
Hako ka mama kako kataishia jela na tu nakwambia. Au kamestaafu au bado, lazima kataenda lupango
Akili za kimasikini hizo. Unawaza mtu fulani atapata madhara halafu hayamfiki hayo madhara. Basi ndo mnasubiriiia wenyewe na kupeana matumaini
 
Hata akistaafu, hili litamfuata hadi siku anaingia kaburini! uliza akina DURTETE kwani walikuwa madarakani walipokamatwa?
TENA itakuwa powa, maana baada ye yeye kuondoka anakuja msiyempenda mheshimiwa sana TAL Rais wa JMT
Poleni sana. Mna maumivu makali sana kwa kusubiri mtu adhurike
 
Jinai haijawahi kufa atafikiwa tu hata awe wapi na wote waliohusika sasa unastaafu na kuanza kuishi kwa hofu na msongo wa mawazo
Matumaini hewa!
Mkapa aliua sana tu na watu walijipa matumaini hivyo hivyo
 
Huyo ni mama yake Abdul
Acha kujipendekeza Kwa mama Wanu

Uchawa usikusahaulishe Hadi mama yako
Wanastaafu waliopewa ridhaa na wanachi
Tukaneni weeeee lkn haibadli kitu kama hamjipangi kwa mikakati yenu wenyewe. Kutegemea Mzungu awafanyie mshapoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…