Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????? ???
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Halafu hiyo posture ya hao wawili inaonesha Mwiingereza anajiamini sana kuliko huyo Mtanzania. Hivi hii ndio ile safari ya mpango wa uzazi?! Hivi kama Obama yamemkuta haya kwa JK ingekuwaje (angalia video)? Nachompendea Mwingereza pure hakopeshi!!!!

[video=youtube_share;pNRXGRFJdDY]http://youtu.be/pNRXGRFJdDY[/video]
 
Imekula kwake. Hawapendi dhaifu at all, rais gani muzururaji
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Kwani mkuu umesahau ile misemo kuwa "Mgeni siku ya kwanza mpe wali na pweza". siku ya pili mpe jembe akalime. .............. na Siku ya kumi mtoe kwa "MATEKE na MANGUMI"
 
Mungi Hii siyo official visit! ni lazima ujue kutofautisha. Hajaalikwa na Prime minister bali na shirika kwenye mkutano!

Kamundu! Mfano Obama akialikwa na Fremason kuja Tanzania wao ndiyo watampokea airport? ziara zote alizokuja bush Tanzania zilikuwa za kiserikali?
 
Mungi Hii siyo official visit! ni lazima ujue kutofautisha. Hajaalikwa na Prime minister bali na shirika kwenye mkutano!
kwa hiyo unataka kuniambia obrien sio government official!!!alijipendekeza kumpokea au alitumwa?basi angepokewa na rooney
 
wamemchoka,kila mara huyooo uingereza wakt huko wanajua nchi yetu inamatatizo kibao.wameshamuona hayuko serious na mambo ya taifa leo
 
rais wetu mpendwa, mkuu wa nchi, amiri jeshi, mwenyekiti wa chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea uingereza, alitakiwa alakiwe na mwenyeji wake waziri mkuu au malkia! Lakini cha ajabu rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza stephen o'brien akiwa na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, amiri jeshi mkuu, ndg jakaya kikwete.

kwani lazima apokewe na rais , au waziri mkuu! What's so special with him to the british?
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Ndugu yangu, Mbona hata sikuelewi hii inahusianaje na protocal ya kumhandle head of state mara anapoingia nchi nyingine? Kidiplomasia na kiitifaki kama kweli Rais wetu alipokewa na waziri wa maendeleo ya Afrika basi serikali ya Uingereza inatuma ujumbe kwa Tanzania na wenye uelewa wa mambo ya siasa za kimataifa wameelewa hiyo message. Wewe endelea kujitutumua tu. Wewe ndo ungeuliza kwamba alivyofanyiwa (kama kweli ndo alivyofanyiwa) ina maana gani? Ungeelimishwa kuliko kurukia kumlinganisha Waziri wa maendeleo na Waziri Mkuu. Kikwete ni Kiongozi mkuu wa serikali na pia ndo mkuu wa nchi, D.Cameroon ni Mkuu wa serikali ya malikia wa uingereza. Angela Merkel ni Mkuu wa serikali ya ujerumani. Wote hawa wanaweza (chini ya utaratibu husika wa nchi) kupeleka majeshi ya nchi zao vitani. Waziri wa maendeleo wa Uingereza hawezi Kuamiri jeshi la Uingereza liende vitani. Hivyo Waziri Mkuu wa uingereza ni stahili sahihi ya Rais Kikwete na ndiyo (kama kweli hakufanya hivyo) alitakiwa ampokee na kumkirimu Raisi wetu. Nje ya hapo kuna ujumbe serikali ya uingereza inatuma kwetu. Ujembe gani? kuwa mnyenyekevu ueleweshwe.
 
Kwa mfano tu nyumbani kwako akija ombaomba utamkaribisha hata ndani,utakachofanya utamtumia hg ampe chochote
 
Wamemchoka sana. Kwani mmehesabu amepokewa mara ngapi mwaka huu. Mbona hamuongelei ya kupokewa na D. BEKHAM. Kama safari zake wanaona hazina tija nafuu wampige maruku kuingia ULAYA.

Asanteni WanaJF
 
WAMELICHOKA OMBAOMBA AKA MATONYA. hALAFU LINAOMBA VYA BINAFSI. NEXT TIME NI BORA APOKELEWE NA HOUSE GIRL WA MWALKIA. KILA SIKU HODI, MBONA WAO HAWAJI KWAKO. LINATUAIBISHA KULIKO.
 
Kama kila siku anajiendea huko bila mpango, hata vimikutano vya wanawake huyo kiongozi atayehangaika nae ni nani? People are busy with issues not trivial issues like this. Kila siku apewe msafara amekuwa nani?
 
Mungi Kiprotocal hiii haikuwa ziara rasmi ya serikali..au state visit..,so anaweza kupokewa na yeyote....,na hata kwenye state visit kwa nchi kubwa kama marekani na uingereza ...rais mgeni anapokewa na foreign officials ..na baadaye kufanyiwa official reception Ikulu ya white house au Buckinghum Palace......
Weee fikiri nchi kama Uk au US kwa siku kuna marais wangapi wanaingia na kutoka ......,kama transit au safari zao tu ..kama wote watatakiwa wapate audiance na head of state kama hapa basi ......Queen au Us president watakuwa wanashinda uwanja wa ndege kama Mkuu wa mKoa wa Dar...
 
Last edited by a moderator:
Hivi unafikiri waziri mkuu au malkia hawana kazi ya kufanya kila siku ni kumpokea tu
huyu mzururaji?Ujio wa kiongozi kwenye nchi yoyote inatumika pesa kama mafuta ya
magari,security n.k.Sasa wewe kila siku unakwenda huko si lazima watakuchoka?
Kwanza nina uhakika kuna siku atapokelewa na katibu kata!
 
Yeye mwenyewe wala hajali. Uingereza alienda kufanya mkutano na Kamati Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Kweli Tanzania ni BIG COUNTRY...
Z
 
MKWESTERE MENYEWE AMERIZIKA KWA KWELI MTU ALIYEMPOKEA KIINGEREZA CHAKE SIO KIKALI SANA KAMA CAMERUN KWA HIYO JK NA HUYU OBRI WANAELEWANA NA KWANZA OBRI ANAJUA KISWAHILI KIASI NDIO MAANA JK ALIOMBA OBRI AMPOKEE SASA NYIE SHIDA IkO WAPI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom