Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.
 
labda yeye anachukulia poa tu mkuu,kumbuka mwalimu nyerere alipoenda USA alilakiwa na Rais Kennedy na kupewa heshima kubwa kabisa,hiyo yote inatokana na background ya mtu
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Kwahiyo unataka kusema kuwa Obrien ndio head of government?? umeelewa lakini ulichokizungumza??
 
Waingereza wengi wanamsema hivi
"Tanzania's Jakaya Kikwete, re-elected to a second term last year, will step down in four years. Hobbled with the reputation of a lazy, foreign-trip-loving president who is soft on corruption, Kikwete seems to be busy sprucing his image.

Amidst signs that the long-ruling Chama Cha Mapunduzi is in the midst of a shake-up, Kikwete has been pushing some of the more controversial and scandal-tainted politicians off the cliff, or a few of them have saved themselves the humiliation and jumped

Na wengine wanamsema hivi

Tanzanians are tired of their president. A retarded womanizer, brain dead idiot constantly trotting the world leaving his country in the darkness. His people pray for an African version of Arab spring to topple jokers like him.

Wikileaks revealed how cheap Kikwete is; a whole head of state being bribed 5 suits and $1million.

How low? He is accused of being the master of all corruption. Never home attending even the most mediocre meetings his assistants could attend. They have even named him after the explorer "Vasco Dagama".

Africans will never progress as long as the likes of Kikwete keep on leading Africa''.
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Hii kitu haijakaa sawa. pitia tena ulichoandika na jiridhishe na nafasi ya Steven Obrien vs. Predident/head of state.
 
Mkuu,

JK hathaminiwi tena na ninashaka na uwezo wake wa kufikiri kwanini anashindwa kutambua Dharau afanyiwazo?
Hebu angalia jinsi alivyolimwa barua kali na Mbunge toka USA, hivi hii inaingia akilini kweli kwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa JMT kuandikiwa barua kali ya Karipio na Mbunge?

Ama kweli ukistaajabu ya Liwalo na Liwe utayaona ya Dhaifu. Hadhi ya Tanzania na hasa Ikulu imeshushwa na Awamu hii ya 4.
 
wao wenyewe wanamjua kabisa kuwa kichwa chake, sasa alakiwe na malkia ili iweje?? tena wangemtuma tu hata secretary anatosha, na bado, dharau huanzia duniani na mwisho atadharauliwa hata mbinguni.
 
kila wakati JK akienda uingereza angekua anapokelewa na david cameroun basi asingekua na kazi nyingine ya kufanya coz huyu jamaa karibia kila mwezi yuko UK, mwenzake yuko busy kujaribu kufufua uchumi na maendeleo ya uk sio kama mwenzetu huyu yuko busy safarini tu
 
Ana bahati kweli. Ningekuwa mimi ningemtumia mkata majan wangu kwa sabab hana hadhi ya kulakiwa hata katibu kata. Waingereza wamejiabisha kumtuma waziri mzima kumlaki mtu ambaye ni idiot
 
Kwani malkia au PM ndio walimuita!! ni kiherehere chake kilichompeleka huko wacha wampokee watakavyo!
wenzetu wako busy na kazi nyie na viherehere vyenu mnakwenda kusumbua watu.... safi sana siku nyingine tulia kwako uheshimike sio kila siku kiguu na njia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom