Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

Status
Not open for further replies.
Mungi Mkuu naingiwa wasiwasi na mwenendo wako, kwa nini unampenda sana Premier CAMEROUN? Ungeenda wewe ulikuwa na hamu sana ya kupokewa naye? SIMBA KAPAKATWA PUB
 
Last edited by a moderator:
Mungi Hii siyo official visit! ni lazima ujue kutofautisha. Hajaalikwa na Prime minister bali na shirika kwenye mkutano!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naingiwa wasiwasi na mwenendo wako, kwa nini unampenda sana Premier CAMEROUN? Ungeenda wewe ulikuwa na hamu sana ya kupokewa naye? SIMBA KAPAKATWA PUB
 
Mkuu nikupateje unataka kumsafisha mtu aliyechafuka kwa oil chafu kwa kutumia diesel,hata wewe ukija kwangu kila siku siku nyingine house girl ndie atakukaribisha

Hili nal neno mkuu wangu!
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Mamaa weeeeee huyu mwanazuoni feki katoka wapi tena yani wewe ndo umetwanga porojo umu jamvini umeongea uharisho mpaka nimesikia kinyaa emu rudia coment yako usiwe na ujinga wa kujitakia naona jinsi gani ulivyo na pengine usomi wa kudesa wajameni umetaka kunitapikisha.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Tangia aingie madarakani mwaka 2005 ameshaenda Uingereza mara 4000, sasa unategemea nini hapo? Wameshamchoka kumpokea. Na aangalie sana mwisho wa siku atakuja tumwa mbuzi kwenda kumpokea.
 
Watu wako Bize na kutatua kero za wananchi wao nyie kila saa hodi.

Next time asiende kama hakuna ishu ya lazima. Ona sasa waziri mkuu wa wingereza hana muda wa kupoteza.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Hii sio ziara rasmi kwa mwaliko wa serikali ya Uingereza bali ni wageni wa taasisi anayoandaa mkutano aliokwenda kuhudhuria.
Na hiyo picha uliyotuwekea ni mkutano wake na huyo waziri na sio kwamba wako airport wakati JK anafika.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

Walimtendea haki tuu, hata hivyo ninaamini huyo naibu waziri alisitisha mambo mengi ya msingi kuja kumpokea huyu muomba misaada.
 
Hata hiyo ni heshima ya juu kwakuwa kwanza sidhani kama kaenda kwa mualiko wa kiserikali. Hata viongozi wengine wakienda kutembelea UK kama sio for political dialogue na serikali amna sababu ya wakuu wa nchi kuangaika nae wana ratiba zao na wao sio afrika pale.

For instance kila jumatano waziri mkuu anakuwa bungeni akijibu maswali ya papo kwa hapo. To do that anahitaji kujipanga liaise with other departments to defend his policies and current affairs ambazo zimejitokeza sio waafrika wale wanamajukumu ya kuelezea.

The mere fact a government official took the trouble to see him is a respect.

Hata Cameron akienda Holiday zake huko spain no one is bothered with him, hila JK jamani ni mdhururaji nyie.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.

Huyo jamaa ni mshikaji wake sana. Jamaa alizaliwa mtwara na ni mmoja wa watu walio na interest kubwa sana na Tanzania. Isingekuwa huyu jamaa Tanzania ingefutiwa budget support n uingereza tangu Mitchell alipoingia. Mitchel anaifagilia sana Rwanda na hasa kagame

Waingereza wanaimezea sana mate gasi yetu hivyo vasco ni mtu muhimu sana kwao kwa sasa. Kwa unjanja wao ni lazima wamtume mtu ambaye vasco atakuwa huru na kufunguka maana jamaa hata kiswahili anajua kidogo.
 
labda yeye anachukulia poa tu mkuu,kumbuka mwalimu nyerere alipoenda USA alilakiwa na Rais Kennedy na kupewa heshima kubwa kabisa,hiyo yote inatokana na background ya mtu

Tatizo hujui mambo ya protocal, tofautisha state visit, official visit na personal visit. JK kaalikwa na nani? Uingereza au Bill na Melinda? Osha kichwa mlevi wewe.
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Nadhani mantiki ya mtoa hoja ni kuwa, mbona kapokewa na waziri msaidizi wa mambo ya nje, wala si waziri mkuu, au waziri wa mambo ya nje?
 
RAIS MUGABE ALIPATA KULAKIWA NA MABASHA HADI HOTELINI KWAKE HUKO UINGEREZA NA SWAHIBA WA TEHRAN NAYE AONJA CHUNGU YA KUPOKELEWA NA 'KIJANA WA MTAANI UCHOCHORONI'

Haya sasa, ujumbe kwa vitendo unathani kubwa zaidi kuliko hata ujumbe uliowashilishwa kwa kutumia maneno zaidi ya 1,000 kidogo.

Wengine tulipata kuonya, juu ya hatari hizi za kufanya biashara BINAFSI IKULU kwa kushirikiana na Tehran, hapa jukwaani lakini hakuna aliyetusikia wala kuzingatia maneno yetu ya upole humu.

Siku zote maumivu ya kichwa huanza pole pole kishaa baadaye mambo ni ukichaa wa mtu kutembea uchi. Jaama, inakua vipi Mhe Kagame wa Rwanda apate kupokelewa na Waziri Mkuu Cameroon mwenyewe kwenye meza kuu na Mhe Kikwete akapokelewe na kijana wa mtaani tena uchochoroni kule Uingereza - jibu ni UADILIFU uliotukuka nchini mwake!!!!

Hata ya Rais Bob Mugabe yalianza pole pole hivi hivi, mwisho wa siku alipaka kulakiwa na kundi kubwa la mabasha, mashoga na wasagaji hadi hotelini kwake huko huko Uingereza.

Usicheze na Jumuia ya Kimataifa pindi inapokutema!!!!!!! Na hicho mlichokiona ni ule ukurasa tu wa 'YALIOMO' kwa wale wenye kawaida ya kujisomea vitabu, muziki wenyewe hasa uko njiani tena kwa nguvu zote!

Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!?????????????? Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.

Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????

Not fair at all! Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Naibu waziri wa mambo ya kimataifa wa uingereza Stephen O'brien akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, ndg Jakaya Kikwete.
 
Rais wetu mpendwa, Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi, Mwenyekiti wa Chama tawala!!!!!!!!!!!!!??????????????
Sijafurahia kabisa the way walivyom-treat rais wetu.
Amekwenda kuitembelea Uingereza, alitakiwa alakiwe na Mwenyeji wake Waziri Mkuu au Malkia! Lakini cha ajabu Rais wetu mpendwa alikwenda kulakiwa/kupokewa na naibu waziri wa maendeleo wa kimataifa! ??????????????
Not fair at all!
Unajua kama wamemchoka rais wetu wasema tu kuliko kumtendea wasivyopenda na wao kutendewa!

uingereza5.jpg

Hii siyo official visit! ni lazima ujue kutofautisha. Hajaalikwa na Prime minister bali na shirika kwenye mkutano!

.
Ama kajialika? Hivi kumbe hata chama chetu cha kukopa na kuweka kinaweza kumwalika rais wa nchi yeyote nchini. Ngoja tufanye mpango kumwalika Ahmed Najad na sie tutengeneze ulaji.
.
 
Mbona huulizi kwa nini Malkia huyohuyo wa Unigereza hahudhurii vikao vya United Nations na badala yake British Prime Minister ndiye anahudhuria.

Kwa nini hujiulizi David Cameron wa UK na Angela Merkel wa Germany wanakaa meza moja na Barack Obama wa USA wanapokutana pale kwenye G8 summit wakati wote wawili ni mawaziri mkuu tu na mwenzao Obama ni Mkuu wa nchi.

Soma tofauti kati ya Head of State na Head Of Govermnent ndipo utapanuka uelewa na ukishaelewa nenda kaisifie Jamii Forum kwamba imekupa uelewa huo maana kuna midubwana ubongo wao umejaa mawazo kwamba JF ni kisima cha porojo.

Hao ni wakuu wa nchi zao! wote ni viongozi wa kuchaguliwa na wananchi wao!
We ndiyo unatakiwa ukaisifie Jf kuwa umeweza kupost upuuzi! Kwa uelewa wako mdogo you mean Stephen O'brien ndiye head of the government!
For your information: Councilor kwa ujerumani ndiye head of the state, PM kwa uingereza vilevile! Wake up you bro/sis!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom