UINGEREZA: Gari lagonga watu kadhaa London

m nawapenda sana mkiukashifu uislamu mnatufananisha wote dunia nzima *maana yake ni dini 1* lkn sisi hatuwafanishi na wala hamjifananishi na wenzenu dunia nzima....
 
Uliza kwanza km ujui punga mkubwa ww
Magaidi utawafahamu hata kwa maandishi yao.
Sijafundishwa kujibu kwa matusi bali kukuambia ukweli tu!
Kama ukweli unakuuma basi tena,
Nimezaliwa na kukulia kwenye uislamu hivyo sihitaji kuuliza manake nafahamu kila kitu.
Mchana mwema gaidi
 
Sio chuki ila ndo uhalisia,kwani wanaouawa Somalia wote sio waislamu
wanaouawa Kaskazini mwa Nigeria wote sio waislamu?
Je wale waliopo Syria,Afghanistan,Iraq na Pakistan wote sio waislamu?
Magaidi mnauana wenyewe kwa wenyewe
Ugaidi umeanzishwa na wazungu,zipo post nyingi humu jf,zenye ushahidi,usijifanye huzioni.
 
Magaidi utawafahamu hata kwa maandishi yao.
Sijafundishwa kujibu kwa matusi bali kukuambia ukweli tu!
Kama ukweli unakuuma basi tena,
Nimezaliwa na kukulia kwenye uislamu hivyo sihitaji kuuliza manake nafahamu kila kitu.
Mchana mwema gaidi
Aliyegonga ni gaidi mwenzako,mkristo,kama yule gaidi wa kizungu,mkristo aliyeuwa wakristo weusi wenzake kanisani.
 
Mpaka sasa hivi taarifa ni kuwa mwanaume wa miaka 48, baba wa watoto watatu. Hawajasema kuwa ni mzungu, mhindi, mweusi au wa njano.
 
Mpaka sasa hivi taarifa ni kuwa mwanaume wa miaka 48, baba wa watoto watatu. Hawajasema kuwa ni mzungu, mhindi, mweusi au wa njano.
Angekuwa sio mzungu,au mzungu muislamu,ingekuwa ameshatajwa,ukiona kimya ujuwe kuna mipango ya kubadilisha badilisha muelekeo.
 
Watawasomea vipi wakati wameagizwa kwenye kitabu chao?
Hayo yakitokea wao hushadadia kwa kupiga Takbiiiir!
Wewweee acha kupotosha watu....wanayoridhia hayo sio waislamu wa kweli bali ni ndugu zake shetani....usipayukwe kama hujakisoma kitabu chetu
 
Walituzuia Watu weusi kwenda EU wakaruhusu Maarab sasa moto unawaka
Chunguzeni dini ya kiislam kabla ya kuropokaropoka na Arabs hawana asili ya ugaidi....angalia ni kina nani wanaopigana vita na serikali ya philipines na utapata jibu kuwa ni wafilipino wenyewe
 
Chunguzeni dini ya kiislam kabla ya kuropokaropoka na Arabs hawana asili ya ugaidi....angalia ni kina nani wanaopigana vita na serikali ya philipines na utapata jibu kuwa ni wafilipino wenyewe
Ambao ni waislam pia
 
Back
Top Bottom