Watu Kadhaa Wapigwa Risasi ktk Super Bowl paredi nchini Marekani

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,318
24,218
Wed 14 February 2024
Kansas City, Missouri

View: https://m.youtube.com/watch?v=mk9H0c7aOjE
Katika Paredi ya Super Bowl kusherehekea ubingwa timu ya nyumbani ya Kansas City Chiefs mjini Kansas City.

Idara ya polisi inakisia zaidi ya watu milioni moja walijitokeza katika tukio hili la kimichezo la kila mwaka la Super Bowl

Polisi, SWAT team na makachero ya FBI wapo kukusanya taarifa na ushahidi kujua lengo la shambulizi hili.

1707950290725.png

Picha: maofisa wa usalama wakiwa ktk eneo la Union Station downtown Kansas City baada ya tukio.

Tues 13 February 2024
UMAARUFU TIMU YA KANSAS CITY CHIEFS
Wachezaji mastaa wakiwasili nyumbani kwaajili ya kusherehekea ushindi na watu wa nyumbani

View: https://m.youtube.com/watch?v=tXZT33boOqw
 
Back
Top Bottom