Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,646
tuna hitaji mabadiliko mwaka huu ya kuiondoa ccm km Dr slaa anataka majaribio na aende zake
Cdm c imara kama unavyodhani, kwanza kwa kuungana na vyama vingine tuu hiyo ni sababu kuwa haina nguvu , kama haitoshi kumtegemea kada wa ccm kuwa ndio mgombea ngazi ya urais hiyo ni sababu ingine tena kudhihirisha udhaifu , sababu ya tatu ni kitendo cha kuweka sharti la kupokea kiasi cha fedha ili kuachia nafasi ya mgombea wa urais huo ni udhaifu mkubwa zaidi, kwa ujumla cdm na upinzani bado ni wachanga sana,. Na udhaifu wa kuamini kuwa wingi wa washabiki cyo ukubwa wa chama kwani kwa siasa watu hao leo wanaweza kukuunga ww na kesho wakamuunga mwingine.
mm pia nilimuamini Dr. Slaa kama kasusa basi kila la heri vita yetu cyo mtu vita yetu ni mfumo mmbaya wa ccm kwa hiyo yy kama anataka kuisaidia ccm sawa tu