Uimara wa CHADEMA Umethibitika kwa sakata la Slaa

Baada ya Uvumi kuwa Dr Slaa kaihama Chadema.Kuna vitu nimejifunza na kujiridhisha kuwa CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa ambayo hamna aliye juu yake.
Baada ya uvumi ule nilitarajia kuona watu wengi wakiungana na Dr slaa kimtazamo ili angalau walioanzisha na waliotengeneza uzishi huo wapate faraja.
Lakini cha kushangaza Dr aligeuka aduii namba moja wa wanaCDM na wapenda mabadiliko wote
Ishara iliyojionyesha wazi,Kama kweli ikatokea Dr kutokukubaliana na wenzake anaisha kisiasa kabisa.
Kifupi yaliyotokea juu ya Dr na Chadema yamekuwa msaada na kipimo tosha kwa CDM juu ya uimara na uthabiti wa taasisi hiyo kwa sasa.
Chadema imedhiirisha ni chama cha upinzani imara Africa.Na mfano wa kuigwa east Africa.

Namuheshimu sana dr slaa,na nitaendelea kumhehimu mpaka kufa kwangu lkn kama ni kweli ataondoka chadema na kujiunga na act nitamjeka kama vile sijawahi kumuunga mkono maisha yangu yote
 
Dr slaa aheshimiwe. Acheni kuanzisha thread za kijinga kwa jina lake.
 
Namuheshimu sana dr slaa,na nitaendelea kumhehimu mpaka kufa kwangu lkn kama ni kweli ataondoka chadema na kujiunga na act nitamjeka kama vile sijawahi kumuunga mkono maisha yangu yote

Kwa hali ilivyo kwa sasa ni uhakika ameshapima upepo na anaona unavyovuma vibaya kwa upande wake.
Nina imani propaganda hazito mpa kiburi
Atatafakari na kuungana na wana mabadiliko wenzake popote walipo nchini.
 
To you the younger generation and leaders of tomorrow, I must tell you, that, Pioneers never live to see or enjoy fruits of their labor, they establish new trails so you can all safely pass through.

We are living in a new era. Era of “New World Economic Order” an era whereby where only the strong survive!

Even though my days have numbered, my struggle for equality between stronger and weaker nations will never stop. My struggle for fairness between nations will never stop. My Struggle for comparative Economic Advantage, and social justice will live on. My fight against corruption will never stop. I will never compromise these principles as long as I live.

I may never live to see my beautiful country enjoy its comparative economic advantage, but my children, my grandchildren and millions of young people in my country, fed-up with lifelong corruption, mismanagement and social injustice will. This is what, I m living for. I am living for Economic and social liberation

Well, this is what pioneers do!

Dr. Wilbrod Peter Slaa,
Keynote Adress: Purdue University,
April, 2015
 
mm nimetega sikio akitoa tamko tu la kujitoa nachoma kadi ya chadema, nijipe muda wa kutafakari then nita tathmini chama kipya cha kujiunga.
 
Baada ya Uvumi kuwa Dr Slaa kaihama Chadema.Kuna vitu nimejifunza na kujiridhisha kuwa CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa ambayo hamna aliye juu yake.
Baada ya uvumi ule nilitarajia kuona watu wengi wakiungana na Dr slaa kimtazamo ili angalau walioanzisha na waliotengeneza uzishi huo wapate faraja.
Lakini cha kushangaza Dr aligeuka aduii namba moja wa wanaCDM na wapenda mabadiliko wote
Ishara iliyojionyesha wazi,Kama kweli ikatokea Dr kutokukubaliana na wenzake anaisha kisiasa kabisa.
Kifupi yaliyotokea juu ya Dr na Chadema yamekuwa msaada na kipimo tosha kwa CDM juu ya uimara na uthabiti wa taasisi hiyo kwa sasa.
Chadema imedhiirisha ni chama cha upinzani imara Africa.Na mfano wa kuigwa east Africa.
Mkuu acheni dharau basi. Binafsi siombei litokee,lkn Mzee ndiye aliyeifikisha Chadema hapa ilipo na kufanya wengi nchi hii wafuatilie siasa.
 
hawezi toka cdm kwani yeye haogopi kung'olewa kucha.
 
Akiondoka atenda wapi? Cuf, NCCR, NLD etc vyote vyetu Ukawa. Kirudi CCM atakuwa msaliti. Kifipi yuko kati. Ss tunamtaka na asituletee nyodo.

Atajichimbia na mabilioni yake atakayopewa kusaliti upinzani
 
Cdm c imara kama unavyodhani, kwanza kwa kuungana na vyama vingine tuu hiyo ni sababu kuwa haina nguvu , kama haitoshi kumtegemea kada wa ccm kuwa ndio mgombea ngazi ya urais hiyo ni sababu ingine tena kudhihirisha udhaifu , sababu ya tatu ni kitendo cha kuweka sharti la kupokea kiasi cha fedha ili kuachia nafasi ya mgombea wa urais huo ni udhaifu mkubwa zaidi, kwa ujumla cdm na upinzani bado ni wachanga sana,. Na udhaifu wa kuamini kuwa wingi wa washabiki cyo ukubwa wa chama kwani kwa siasa watu hao leo wanaweza kukuunga ww na kesho wakamuunga mwingine.
Kada wa ccm ?
 
Baada ya Uvumi kuwa Dr Slaa kaihama Chadema.Kuna vitu nimejifunza na kujiridhisha kuwa CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa ambayo hamna aliye juu yake.
Baada ya uvumi ule nilitarajia kuona watu wengi wakiungana na Dr slaa kimtazamo ili angalau walioanzisha na waliotengeneza uzishi huo wapate faraja.
Lakini cha kushangaza Dr aligeuka aduii namba moja wa wanaCDM na wapenda mabadiliko wote
Ishara iliyojionyesha wazi,Kama kweli ikatokea Dr kutokukubaliana na wenzake anaisha kisiasa kabisa.
Kifupi yaliyotokea juu ya Dr na Chadema yamekuwa msaada na kipimo tosha kwa CDM juu ya uimara na uthabiti wa taasisi hiyo kwa sasa.
Chadema imedhiirisha ni chama cha upinzani imara Africa.Na mfano wa kuigwa east Africa.

Hiyo chadema unayoiona ni chadema lowasa..wazee wa ikulu..sio ile ya walioifikisha chadema hapo ilipo..so usije ukaona maneno mengi ya kumchafua dr ukadhani ni chadema halisi..
 
Jambo lipo wazi kabisa chadema peke yao hawaiwezi ccm kabisa. Bado wachanga illa walipojiunga ukawa ikawa afadhali ila bado wasingeiweza ccm. Kuingia kwa lowasa chadema - ukawa imeleta nguvu mpya ambayo ni yenye matumaini hilo lipo wazi kabisa. Kwa suala la mmoja kususa sijui haonekani hili nalo wasiporekebisha watapunguza. Kuiondoa ccm madarakani inahitajika uvumilivu umoja na juhudi hadi dakika ya mwisho. Vinginevyo ccm itaendelea kupeta. Mwenye hekima siku zote hafanyi wala kusema jambo popote anatafuta fursa ANAITUMIA.
 
mm pia nilimuamini Dr. Slaa kama kasusa basi kila la heri vita yetu cyo mtu vita yetu ni mfumo mmbaya wa ccm kwa hiyo yy kama anataka kuisaidia ccm sawa tu
Hapo naomba uongozi mzima wa CDM usimbembeleze yeye na yoyote yule ambaye anataka kuyumbisha chama wakati huu wa kujipanga kuingia vitani
 
Walianza na cuf kujitoa ukawa ikashndkana wakaja na slaa lissu na mnyika wamejitoa baada ya lowassa kuja cdm lissu akatokea wakadai mnyika na slaa wanaenda act leo mnyika ndan ya kamat kuu ya cdm wamenk na slaa akishatokea nafkr watasema ukawa haitoshiriki uchaguz mkuu maana nec haiwatambui
 
sikiliza wewe kizalia cha fisadi mramba.
hakuna asiyejua kuwa slaa alikuwa akiburuzwa na mbowe maana maamzi ya chama yalikuwa yanatoka tengeru. na hili sasa liko wazi kuwa slaa alikuwa akiburuzwa kitu ambacho zitto alikataa.
sasa hivi mmemsajili lowasa, suala la kumburuza msahau. huyo ni mbabe na kama mlikuwa mnategemea mteremko, sahauni. lowasa akichanga karata zake vizuri hata kura yangu kainasa (45%, magufuli 55%) lakini nisingethubutu kumpa slaa wakati najua fika ni muajiriwa wa wazee wa vitochi.

Baada ya Uvumi kuwa Dr Slaa kaihama Chadema.Kuna vitu nimejifunza na kujiridhisha kuwa CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa ambayo hamna aliye juu yake.
Baada ya uvumi ule nilitarajia kuona watu wengi wakiungana na Dr slaa kimtazamo ili angalau walioanzisha na waliotengeneza uzishi huo wapate faraja.
Lakini cha kushangaza Dr aligeuka aduii namba moja wa wanaCDM na wapenda mabadiliko wote
Ishara iliyojionyesha wazi,Kama kweli ikatokea Dr kutokukubaliana na wenzake anaisha kisiasa kabisa.
Kifupi yaliyotokea juu ya Dr na Chadema yamekuwa msaada na kipimo tosha kwa CDM juu ya uimara na uthabiti wa taasisi hiyo kwa sasa.
Chadema imedhiirisha ni chama cha upinzani imara Africa.Na mfano wa kuigwa east Africa.
 
Walianza na cuf kujitoa ukawa ikashndkana wakaja na slaa lissu na mnyika wamejitoa baada ya lowassa kuja cdm lissu akatokea wakadai mnyika na slaa wanaenda act leo mnyika ndan ya kamat kuu ya cdm wamenk na slaa akishatokea nafkr watasema ukawa haitoshiriki uchaguz mkuu maana nec haiwatambui

Ndiyo maana naendelea kuwaambia hawa jamaa kwamba,wakati wanatwanga pilipili kwenye kinu pale Dodoma,hawakufikiria
kwamba itawapalia, na watakohoa sana.
 
Upo sahihi. Ila Dokta yupo na sisi wanachama tunaojua siasa tunajua yupo na atarudi akishamaliza kazi yake maalum.
 
Back
Top Bottom