Uimara wa CHADEMA Umethibitika kwa sakata la Slaa

Dharau kila kukicha dhidi ya Dr Slaa..!!

Kuna watu wako pembeni wanasoma michango yenu tu humu ndani, Kuna watu wanasubiri kwa hamu lolote litakalofanywa au kusemwa na Dr Slaa. Kama Dr Akiamua kuondoka Cdm na kistaafu siasa, wapo wengi sana, wengi mno watakaokuwa nyuma yake. Kama unapima upepo kwa kuangalia watu wanavyomtukana na kumsimanga Dr humu ndani, then unajidanganyana sana. Wapo watu wengi tu hawajui Jf ni mdudu gani..!!! Hapa tulipo leo Wanachama wa Jf ni takribani laki sita tu out of Watanzania milioni 45..!!

Kataa au kubali Dr Slaa hawezi kuitumia Jf kupima upepo, tena sidhani kwamba mtu mwenye maamuzi yake anahitaji kupima upepo ili kufanya maamuzi hayo.. Watu wa namna hiyo si wenye kariba ya Dr Slaa. Sisi tunajiamisha humu ndani kwamba Cdm Mpaka kufikia hapa ni Taasisi Imara..., lakini tunasahau kwamba Taasisi hii tunayojivunia hii leo imejengwa chini ya Dr Slaa kama mtendaji kwa karibu zaidi ya miaka kumi. Mtu huyuhuyu tunayemdharau humu ndani ndiye aliyesimama Kidete mpaka Cdm kufikia hadhi hii iliyonayo ambayo sisi hii leo kwa ujivuni tunadharau..!!

Ila Mungu ni mwema, Dr Slaa kwa umri wake akiamua kustaafu siasa hakuna litakaloharibika kwake, Atabaki na heshima yake. Kamwe Dr haitaji siasa ili aendelee kujijenga au kujinufaisha. Zaidi sana ni Siasa, hasa ya hapa nyumbani ndiyo inayomuhitaji Dr ili iendelee kuwa Imara.

Wekeni Akiba ya Maneno..!!

BACK TANGANYIKA
 
mm nimetega sikio akitoa tamko tu la kujitoa nachoma kadi ya chadema, nijipe muda wa kutafakari then nita tathmini chama kipya cha kujiunga.

Usijali wala kuumiza kichwa mfuate atakapoenda au ingia CCM fasta tuache na CDM/UKAWA yetu. Vita vyataka majababi siyo watu wa kubembelezwa,tutambeleza mke, mtoto na mwanaume mwenzako? Hiyo kweli haki?
 
Walianza na cuf kujitoa ukawa ikashndkana wakaja na slaa lissu na mnyika wamejitoa baada ya lowassa kuja cdm lissu akatokea wakadai mnyika na slaa wanaenda act leo mnyika ndan ya kamat kuu ya cdm wamenk na slaa akishatokea nafkr watasema ukawa haitoshiriki uchaguz mkuu maana nec haiwatambui

Kamanda wanasema Mnyika hayuko ndani ya hicho kikao, ebu wambie watanzania hiyo picha wamechakachua
 
Natamani sana sasa Chadema ifike mahali iachane kabisa na kujijenga around individuals. Hii ni hatari sana. Zitto ametutesa sana lwa sababu ya kuamini yeye ndiye Chadema. Naamini Slaa hafika huko.
 
Kama ni swala la kupigana na ufisadi liwe ni la chama sio la mtu binafsi. Mambo ya mimi nimefanya hiki na kile yafe kabisa. Kiongoxi aseme chama kimefanya hivi na hivi. List ya mafisadi wa mwembe yanga kwa mf. Imegeuzwa kuonekana km ni jambo binafsi la dk Slaa badala ya chama. Hebu tuachane na huu utamaduni wa kujengea watu sifa binafsi nadla yake chama ndio kikae juu ya individuals
 
chadema ni taasisi tena ni strong institution hata angekuwa baba wa taifa nyerere sembuse dr slaa mm nilikuwa mmoja wa wafuasi wake na nitaendelea kumuheshim bt when it comes to movement 4 change sitokubali kuwa mfwasi wa mtu anae ona chama kipo njia panda yeye ata kutoka na kukanusha kashindwa je ingekuwa wanamsema vibaya mkewe au watoto wake angekaa kimya inatakiwa afahamu ya kwamba watanzania wamemjua kupitia siasa na uwezi kufanya siasa bila ya chama kukudhamini

Uko sahihi mi pia naanza kujifunza kumchukia Dr Slaa kiongozi ninae mpenda. Sisi wote tulishituka na kutokuamini lkn tumewasikia viongozi wetu na wengine wengi wanaoaminika ktk siasa Za nchi hii tumebadilika na kuendeleza harakati Za ukombozi Sasa Dr Slaa ameendelea kujiweka pembeni maana yake nini kama si ufisadi wa ukombozi?
 
Cdm c imara kama unavyodhani, kwanza kwa kuungana na vyama vingine tuu hiyo ni sababu kuwa haina nguvu , kama haitoshi kumtegemea kada wa ccm kuwa ndio mgombea ngazi ya urais hiyo ni sababu ingine tena kudhihirisha udhaifu , sababu ya tatu ni kitendo cha kuweka sharti la kupokea kiasi cha fedha ili kuachia nafasi ya mgombea wa urais huo ni udhaifu mkubwa zaidi, kwa ujumla cdm na upinzani bado ni wachanga sana,. Na udhaifu wa kuamini kuwa wingi wa washabiki cyo ukubwa wa chama kwani kwa siasa watu hao leo wanaweza kukuunga ww na kesho wakamuunga mwingine.

Acha rumors za kike una uthibitisho juu ya kupewa hela Cdm kumpa Edo agombee URAIS? Kama Huna SHUT UP AND KEEP QUITE!
 
Cha ajabu ni kuwa mtu aliyekaa kimya na kutoonekana kwenye events za chama ndiye aliyezungumziwa zaidi [kwa mazuri au mabaya] kuliko mtu yeyote mwingine kwa wiki hii hapa JF. Hii ina maana gani? Mtafakari na mbakize maneno.
 
Dr. Slaa kachoka kuendeshwa kama gari bovu
 
Dharau kila kukicha dhidi ya Dr Slaa..!!

Kuna watu wako pembeni wanasoma michango yenu tu humu ndani, Kuna watu wanasubiri kwa hamu lolote litakalofanywa au kusemwa na Dr Slaa. Kama Dr Akiamua kuondoka Cdm na kistaafu siasa, wapo wengi sana, wengi mno watakaokuwa nyuma yake. Kama unapima upepo kwa kuangalia watu wanavyomtukana na kumsimanga Dr humu ndani, then unajidanganyana sana. Wapo watu wengi tu hawajui Jf ni mdudu gani..!!! Hapa tulipo leo Wanachama wa Jf ni takribani laki sita tu out of Watanzania milioni 45..!!

Kataa au kubali Dr Slaa hawezi kuitumia Jf kupima upepo, tena sidhani kwamba mtu mwenye maamuzi yake anahitaji kupima upepo ili kufanya maamuzi hayo.. Watu wa namna hiyo si wenye kariba ya Dr Slaa. Sisi tunajiamisha humu ndani kwamba Cdm Mpaka kufikia hapa ni Taasisi Imara..., lakini tunasahau kwamba Taasisi hii tunayojivunia hii leo imejengwa chini ya Dr Slaa kama mtendaji kwa karibu zaidi ya miaka kumi. Mtu huyuhuyu tunayemdharau humu ndani ndiye aliyesimama Kidete mpaka Cdm kufikia hadhi hii iliyonayo ambayo sisi hii leo kwa ujivuni tunadharau..!!

Ila Mungu ni mwema, Dr Slaa kwa umri wake akiamua kustaafu siasa hakuna litakaloharibika kwake, Atabaki na heshima yake. Kamwe Dr haitaji siasa ili aendelee kujijenga au kujinufaisha. Zaidi sana ni Siasa, hasa ya hapa nyumbani ndiyo inayomuhitaji Dr ili iendelee kuwa Imara.

Wekeni Akiba ya Maneno..!!

BACK TANGANYIKA

Kaka unajisumbua na Maelezo marefu..hawa wanaomtukana dr ni 4umovement..wazee wa ikulu..wamedandia siasa kwa mbele tu by mob cycology..hayo unayowaeleza ni mazito kwao..hawana muda huo
 
Dharau kila kukicha dhidi ya Dr Slaa..!!

Kuna watu wako pembeni wanasoma michango yenu tu humu ndani, Kuna watu wanasubiri kwa hamu lolote litakalofanywa au kusemwa na Dr Slaa. Kama Dr Akiamua kuondoka Cdm na kistaafu siasa, wapo wengi sana, wengi mno watakaokuwa nyuma yake. Kama unapima upepo kwa kuangalia watu wanavyomtukana na kumsimanga Dr humu ndani, then unajidanganyana sana. Wapo watu wengi tu hawajui Jf ni mdudu gani..!!! Hapa tulipo leo Wanachama wa Jf ni takribani laki sita tu out of Watanzania milioni 45..!!

Kataa au kubali Dr Slaa hawezi kuitumia Jf kupima upepo, tena sidhani kwamba mtu mwenye maamuzi yake anahitaji kupima upepo ili kufanya maamuzi hayo.. Watu wa namna hiyo si wenye kariba ya Dr Slaa. Sisi tunajiamisha humu ndani kwamba Cdm Mpaka kufikia hapa ni Taasisi Imara..., lakini tunasahau kwamba Taasisi hii tunayojivunia hii leo imejengwa chini ya Dr Slaa kama mtendaji kwa karibu zaidi ya miaka kumi. Mtu huyuhuyu tunayemdharau humu ndani ndiye aliyesimama Kidete mpaka Cdm kufikia hadhi hii iliyonayo ambayo sisi hii leo kwa ujivuni tunadharau..!!

Ila Mungu ni mwema, Dr Slaa kwa umri wake akiamua kustaafu siasa hakuna litakaloharibika kwake, Atabaki na heshima yake. Kamwe Dr haitaji siasa ili aendelee kujijenga au kujinufaisha. Zaidi sana ni Siasa, hasa ya hapa nyumbani ndiyo inayomuhitaji Dr ili iendelee kuwa Imara.

Wekeni Akiba ya Maneno..!!

BACK TANGANYIKA
Sina cha kukulipa mkuu ila namuomba Mungu akutendee kama utakavyotaka .
 
Cdm c imara kama unavyodhani, kwanza kwa kuungana na vyama vingine tuu hiyo ni sababu kuwa haina nguvu , kama haitoshi kumtegemea kada wa ccm kuwa ndio mgombea ngazi ya urais hiyo ni sababu ingine tena kudhihirisha udhaifu , sababu ya tatu ni kitendo cha kuweka sharti la kupokea kiasi cha fedha ili kuachia nafasi ya mgombea wa urais huo ni udhaifu mkubwa zaidi, kwa ujumla cdm na upinzani bado ni wachanga sana,. Na udhaifu wa kuamini kuwa wingi wa washabiki cyo ukubwa wa chama kwani kwa siasa watu hao leo wanaweza kukuunga ww na kesho wakamuunga mwingine.

Duuh! Bora ungenysmaza tu I see,yaani umeonges pumba hata hujui kinachoendelea..
 
Cdm c imara kama unavyodhani, kwanza kwa kuungana na vyama vingine tuu hiyo ni sababu kuwa haina nguvu , kama haitoshi kumtegemea kada wa ccm kuwa ndio mgombea ngazi ya urais hiyo ni sababu ingine tena kudhihirisha udhaifu , sababu ya tatu ni kitendo cha kuweka sharti la kupokea kiasi cha fedha ili kuachia nafasi ya mgombea wa urais huo ni udhaifu mkubwa zaidi, kwa ujumla cdm na upinzani bado ni wachanga sana,. Na udhaifu wa kuamini kuwa wingi wa washabiki cyo ukubwa wa chama kwani kwa siasa watu hao leo wanaweza kukuunga ww na kesho wakamuunga mwingine.

mkuu kweli ume panic kiasi hiki??? siwezi kuamini kama ni mkono wako ume post hivo jinsi ninavyokufahamu. Duh!
 
To you the younger generation and leaders of tomorrow, I must tell you, that, Pioneers never live to see or enjoy fruits of their labor, they establish new trails so you can all safely pass through.
We are living in a new era. Era of “New World Economic Order” an era whereby where only the strong survive!
Even though my days have numbered, my struggle for equality between stronger and weaker nations will never stop. My struggle for fairness between nations will never stop. My Struggle for comparative
Economic
Advantage, and social justice will live on. My fight against corruption will never stop. I will never compromise these principles as long as I live. I may never live to see my beautiful country enjoy its comparative
economic
advantage, but my children, my grandchildren and millions of young people in my country, fed-up with lifelong corruption, mismanagement
and social injustice will. This is what, I m living for. I am living for Economic and social liberation Well, this is what pioneers do! Dr. Wilbrod Peter Slaa, Keynote Adress:
 
Back
Top Bottom