Uhuuu! Hodi wanajamvi!

Uhuuu! Hodi wanajamvi!

Sweetlove

Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
54
Reaction score
15
I feel like i know u all!
Its very interesting kuwa katikati ya watu 'usiowajua' halafu ukawa happy.nikaribisheni jamani! I like u ol.
 
Karibu sana Sweetlove jamvini, atakuja muungwana Katavi. Atakupa juice ya Aple..
 
I feel like i know u all!Its very interesting kuwa katikati ya watu 'usiowajua' halafu ukawa happy.nikaribisheni jamani! I like u ol.
Sweetlove, kuna member mwenzetu anaitwa Sweetlady mtoto mzuri mwenzako
 
Thank u ndg chatu!Muungwana katavi yuko wapi? Mwambie alete juice nyingi nimgawie sweetlady!
 
I feel like i know u all!
Its very interesting kuwa katikati ya watu 'usiowajua' halafu ukawa happy.nikaribisheni jamani! I like u ol.
Karibu sana, ukiwa na tatizo lolote humu ndani nitafutate nitakusaidia bila tatizo. Jisikie vizuri kila wakati uwapo JF.
Welcome kwa sana.
 
With a name like that... i feel like i know you too...

Karibu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom