Uhusiano wa Franco na Mobutu

Naifagiliaga hiyo Massu iliimbwa na Mdada mmoja hv Jollie Detta ila na yeye maskini nasikia alikufa na "Malade SIDA"
 
Naifagiliaga hiyo Massu iliimbwa na Mdada mmoja hv Jollie Detta ila na yeye maskini nasikia alikufa na "Malade SIDA"
Ukimwi inaonekana umewamaliza wacongo
 
Kuna sehemu nimesoma wanasema alikua ni kilema,wikipedia pia wanasema hivo ,sijui ni ukilema upi
Inasemekana udogoni kwake akiwa na miaka 4 aliwahi pewa chanjo dhidi ya polio ambayo ilimuathiri kutokana na kuwa na allergy na hiyo chanjo jambo lililopelekea ku paralyse miguu yake baadae baada ya tiba ya mazoezi angalau ile miguu ukaweza kutumika japo sio kwa ufanisi wake wa 100%.

Hii ilipelekea miguu yake kupinda na kuwa kama mtu wa polio.

Ndo historia iliyo nyuma ya kuwa na ulemevu japo alikuwa mzuri sana tena wakutajika.
 
Umetisha
 
labda umesahau,hebu fwatilia historia ya mpongo love,mwaka 1977 Franco alimsajili mpongo ktk band alikaa miaka miwili okk jazz,hata wimbo wake "ndaya"aliutunga kwa msaada wa Franco,hebu fwatilia
mpongo love alifariki 1994

M'pongo Love hajawahi kuimbia O.K. Jazz, ubishi wa nini? Ndaya ni wimbo wa Mayaula Mayoni, aliutunga na kumpa Mpongo aimbe katika bendi yake (bendi ya M'pongo).
 
M'pongo Love hajawahi kuimbia O.K. Jazz, ubishi wa nini? Ndaya ni wimbo wa Mayaula Mayoni, aliutunga na kumpa Mpongo aimbe katika bendi yake (bendi ya M'pongo).
narudia tena soma history mpongo aliimba OK jazz mwaka 1977 ubishi wa nn? som history ya okk jaz kwanza alaf rudi
 
M'pongo Love hajawahi kuimbia O.K. Jazz, ubishi wa nini? Ndaya ni wimbo wa Mayaula Mayoni, aliutunga na kumpa Mpongo aimbe katika bendi yake (bendi ya M'pongo).
narudia tena soma history mpongo aliimba OK jazz mwaka 1977 ubishi wa nn? som history ya okk jaz kwanza alaf rudi
 
Naifagiliaga hiyo Massu iliimbwa na Mdada mmoja hv Jollie Detta ila na yeye maskini nasikia alikufa na "Malade SIDA"
hahaha huyu alikuwa anagongwa na Franco akamwambukiza ngoma,aisee ngoma ilitafuna wengi kipind hicho,walioponea n kina madiluu,mangwana ,simaro lutumba na tabu ley huo.wimbo aliutunga akiwa okk jaZz
sida=ukimwi
kuna wimbo wa Franco unaitwa attention na sida aliutoa mda mchache kabla ya kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…