Uhusiano wa Franco na Mobutu

noted
 
Napenda wimbo wa vewe na azda veweee pia namuona Mobutu kama mvumilivu kwa kiasi flani na mwenye upendo
Ni kweli alifanya mazuri mengi mfano kila jumapili alienda kanisani na kuwakaribisha waumini kwake wakawa wanakula na pesa anawapa.
 
Mbona kuna mdau anasema MADILU alipaka poisonee kwenye mic yake....toka hapo Franco na kifua mpaka akadead?
Yawezekana kwa sababu historia za Africa kuna personal account nyingi sanaaa
Ila kwa mujibu wa simaro lutumba ambaye alikua vice president wa OK JAZZ franco alikua na tatizo la tumbo
Ila hata kifua inaezekana sababu kuna interview ipo huko utube anaongea kwa taabu mno
 
Pia alimwezesha Casius Clay (Muhammad Alli) atoke Marekani aende kupigana ngumi kwenye 'jungle' mwaka 1974.
 
Ni kweli alifanya mazuri mengi mfano kila jumapili alienda kanisani na kuwakaribisha waumini kwake wakawa wanakula na pesa anawapa.
Mobutu alikuwa dikteta katili mno Aliua wengi mno,hiyo ya kanisani ni kuzuga tu
Aliijeuza congo kama geto lake
 
Kivip mkuu...nimetoka kucheki his final days YouTube, anasema yy hana ngoma na akifa basi wampime!....ila alikuwa ameisha!
Nadhani wakati huo watu walikua wanapima kwa macho, unajua Franco alikua bonge la mtu sasa katika siku zake za mwisho alikua amepungua uzito na mwili kwa kiasi kikubwa na akawa amedhoofika na kuchoka hata jukwaani katika live performance alikua akikaa kwenye kiti. Inawezekana pia ikawa ni sukari nahawakuigundua au kuicheki kabda maana nayo hua inamkongoroa mtu, nakumbuka marehemu Marijani nae alikuja kugundulika kua anakisukari when it was too lake na alikua amedhoofika sana mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…