luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,928
humu jf ipo thread moja imemchambua kila kitu itafuteKwanz nikupongezee mkuuu kwamb wew nimfuatiliaj na mi napnda xan kujua histria ya huyu jmaaa mobutu vp naeza pata wapi maelezo zaid kuhuc huyu mobutuuuuu mkuuu????
mm nakumbuka KBS kuwa 1977 Franco alimsajili mpongo sasa huyu Jamaa anabishaMpongo Love aliimbia Tp OK Jazz
wanamzk hao woote n wa Congo DRCMimi huwa zinanichanganya hizi Congo mbili, Brazzaville na Congo Kinshasa, hebu nipeni itofauti hapo, hawa wanamuziki kina Koffi, Werrason n.k wanaishi Congo ipi? Kabila anaongoza Congo ipi? Congo ipi ni maarufu kuliko nyingine na kwa nini?
aisee kumbe yupo? alipona ukimwi enzi hizo?Jollie Detta yupo kaokoka,
Yupo Ubeligiji na mumewe wakiimba nyimbo za kumtukuza Mungu.
aisee kumbe yupo? alipona ukimwi enzi hizo?Jollie Detta yupo kaokoka,
Yupo Ubeligiji na mumewe wakiimba nyimbo za kumtukuza Mungu.
ndaya ya okk jazz mtunz n nan?Ukumbuke kuna Ndaya ya OK Jazz ambayo ni tofauti na ile ya Mpongo Love.
Mobutu alifuja hela za nchi mnoNakumbuka huu wimbo wa candinda nabiso mobutu, huwa nasisimka kabisa , maana inchini Zaire kulikua na sintofahamu kabisa kama mzee angeshinda uchaguzi , huu wimbo aliupigia Belgique Mobutu akatuma ndege kwenda mfuata Franco na jamaa akashinda uchaguzi kilaini Franco - Candidat na Biso Mobutu Song Lyrics, Music Video
Ile album ya Maya wenyewe wanaita "Album des albums" ilipigwa na OK Jazz tawi la Kinshasa wakati Franco na OK Jazz bendi kubwa wako ulaya. Kitu ile ilipotua mikononi mwa Franco ilibidi aite bendi nzima waisikilize na akawaambia anataka wajitume. Simaro ana nyimbo nyingi kali-bahati mbaya au nzuri-ni mtu muungwana sana, hajitutumui lakini vigongo vyake Luambo alivikubali hadi kumpa Chef D'Orchestre, Vice President na baada ya kufariki Franco akawa President of OK Jazz na Vice wake akiwa Josky Kiambukuta. Wanamuziki wenzake walimheshimu sana ndio maana familia ya Luambo ilipo mvua u-president, yeye aliamua kutoak OK Jazz na wanamuziki wote waliobaki wakaiacha bendi hapo hapo pamoja na Josky ambae familia walitaka awe President. Leo hii anapiga 80 years na anastaafu muziki baada ya miaka 60.mkuu ID yako imenikumbusha mwanamzk wa okk jazz alieitwa simaro lutumba masiya
alicharaza wimbo matata unaitwa Maya
hebu nifafanulie kidgo mkuu kuhusu sintofaham hiyo pleaseSiongo Bavon Marie Marie alifariki 1970. Alipata ajali baada ya kuto kuelewana na Kaka yake. Kwa uhakika wa kifo cha huyu bwana muulizeni Papa Chimanga Assosa wa Bana Marquiz (rafiki yake marehemu Bavon) mwanamuziki wa Zamani wa Negro Success kupitia RTD FM kipindi cha Kavasha Time yuko kila Jumamosi na Mtangazaji Nguli Mbazigwa Hassan. Hapo pia utapata taarifa nyingi na muziki wa zamani wa DRC. Si kweli kwamba Bavon alitaka kujiua.
Exactly, ndio huyo huyo mzee mwenzangu; huyu nae album yake nilikua nayo sana!Yule aliyechezea yanga anaitwa Mayaula Mayoni mzee wa Mbongo, namfagilia sana nyimbo zake slow flani hv lkn tamu sana.
Ndio huyo huyo mrembo!Kubadili zaire kuwa Congo badilisha sentensi mkuu.
Hivi Franco si ndo ameimba Mario?
aisee story nzuri sana hiiIle album ya Maya wenyewe wanaita "Album des albums" ilipigwa na OK Jazz tawi la Kinshasa wakati Franco na OK Jazz bendi kubwa wako ulaya. Kitu ile ilipotua mikononi mwa Franco ilibidi aite bendi nzima waisikilize na akawaambia anataka wajitume. Simaro ana nyimbo nyingi kali-bahati mbaya au nzuri-ni mtu muungwana sana, hajitutumui lakini vigongo vyake Luambo alivikubali hadi kumpa Chef D'Orchestre, Vice President na baada ya kufariki Franco akawa President of OK Jazz na Vice wake akiwa Josky Kiambukuta. Wanamuziki wenzake walimheshimu sana ndio maana familia ya Luambo ilipo mvua u-president, yeye aliamua kutoak OK Jazz na wanamuziki wote waliobaki wakaiacha bendi hapo hapo pamoja na Josky ambae familia walitaka awe President. Leo hii anapiga 80 years na anastaafu muziki baada ya miaka 60.
Marehemu Mpudi Decca. Alijiunga na OK Jazz mwanzoni mwa 1970's. Mpiga besi mahiri sana.ndaya ya okk jazz mtunz n nan?
Franco ndo mtunzi wa Mario. Waimbaji wakuu akiwa yeye mwenyewe sauti nzito na Madillu System sauti ya dhahabu/yenye mtetemo. Bendi ikiwa ni TP. OK. JazzKubadili zaire kuwa Congo badilisha sentensi mkuu.
Hivi Franco si ndo ameimba Mario?
Kweli JF kiboko..na aliemwambukiza n mwanamzki aitwaye mpongo love alieimba nyimbo iitwayo "ndaya"
dah wana okk jazz wamekufa karibia woteMarehemu Mpudi Decca. Alijiunga na OK Jazz mwanzoni mwa 1970's. Mpiga besi mahiri sana.
[emoji119] [emoji119]Madilu System alikuwa mwanamuziki wa Afrisa International ya Tabou Ley, ilipofika safari ya kwenda ulaya akachujwa kwa mizengwe akiwa Airport. Akaona enough is enough akaomba kujiunga na OK Jazz na Franco hakuwa na hiyana. Akawa mwimbaji pamoja na waimbaji vinara wa OK Jazz- Josky, Ntessa na wengineo. Alifanya hivyo kwa miaka takribani 2/3. Ilipotokea safari ya ulaya dakika ya mwisho akapata namba. Franco wakati huo ndo amemaliza project yake ya "Lisanga ya Banganga" ambayo ilitoa santuri si chini ya 6 akiwa na Tabou Ley, Mavatiku Vissi na Josky Kiambukuta. Akiwa huko ulaya akapata idea ya wimbo wa Non au "Libala oh Libala 1982/83. Akamjaribu Madilu kama ataweza kuuimba. Baada ya kuelekezana ndo mwimbo ule ukasukwa na madilu akapiga duet na Franco na pia kuimba solo vipande vingine. Sauti ya Madilu ikapaa na OK Jazz wakaonekana wamekuja vipya-Franco akanogewa ndo akawa anatunga nyimbo za style ile (pamoja na Mamouu, Mario etc). Hapo Madilu ndipo alipopanda chati hadi kufikia 1986 Josky na Ntessa wakazira kwani waliona Franco macho yake yako kwa Madillu tu. Wakatoka OK Jazz wakatoa nyimbo kama Selengina. Ntessa alirudi kwa style ya Collaboration na OK Jazz (Album kama mbili), Josky alijiunga tena na kuongoza kikosi cha waimbaji wa OK Jazz. Baada ya kutokuelewana kati ya Familia ya Franco (Dada Yake) na Papa Simaro Lutumba 1993 Familia wakamvua Simaro uongozi, ndipo wanamuziki wote wakaiacha OK Jazz wengi wao wakianzisha Bana OK chini ya uongozi wa Simaro. Madilu akaamua kwenda solo, lakini akahakikisha mdundo wake na karibu nyimbo zake zinafuata beat ya OK Jazz na Solo ya Luambo. Alijitahidi pia akajenga bendi yake Bana Syste ambayo ukisikiliza album zake utaona role model wake ni Luambo. Si tu alitembelea nyota ya Franco bali aliishi muziki wa Odemba (style ya OK Jazz). Mwenyewe alidai kila anapoingia studio-anamuona Luambo kazini akimwongoza. Ndogo ndogo inasema mama wa Madilu ni dada wa mke wa Simaro (Maman Kelani).