Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,150
Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi.
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.
Tuambizane:
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.
Tuambizane:
- Je harufu huwa inakuvutia kwa kwa mpenzi au watu wanaokuzunguka?
- Ni harufu gani ya kipekee unaikumbuka au ilikutengenezea matamanio?
- Una kisa chochote kinachohusu harufu za mwili? (iwe mbaya au nzuri)