Uhusiano na mtu ambaye hujawahi muona

Mbona ikitokea wakaonana na kukuta cvyo kama kila mmoja alivyotarajia hukimbiana
peleleza hii kwenye mazingira haya wanaume ndiyo huwa wanataka wamuone msichana kwanza kisha amsaminishe akiona halipi anamdanganya na simu anazima lakini wasichana huwa wako willing kuonana bila kujifichaficha.Ninawashikaji zangu wawili wameshafanya hivyo baada ya kukubaliana demu kaja ubungo hapo mshikaji akamdanganya demu ili tu yeye awe wa kwanza kumfahamu baada ya kuona kimeo huyo akazima na simu nduki!....
 
Mi kuna kabinti fulani tuliwahi kuwasiliana wakati hatujuani, wakati huo niko pale Mlimani mwaka wa pili 2007, kenyewe kalikuwa kanasoma A-Level huko Dodoma. Tulipofanikiwa kukutana nilikula kona ya hatari manake ilikuwa ni tofauti na mategemeo yangu. Alafu huwa wanalegeza sauti unweza kudhani ni wazuri ile mbaya.
 
kwa hilo unawashaurije wanaume
 
Duh hii mambo cyo, ishawah nitokea pnd nikiwa advanc, mtoto alikosea piga namba haf kutokana na saut yake kuwa tam(syo siri alkuwa na saut nzur na nyororo sana, yan rum nispoweka loudspeaker pnd naongea naye ilikuwa bif na washkaj bt nilpokuja onana naye kpnd cha lkzo, ilkuwa posta ben mkapa millenium towers, dah nguv ziliniisha kabisa dem kama katun jaman.....! Dah sitajarb iyo ktu tena maishan, haf nikkumbuka vpesa nilituma knoma! Da so sad jaman! Achen iyo mambo mtakuja umbuka, ka miye!
 
Bila mu wazima wa afya wana MMU,nin hutokea had unakuta mtu ana uhusiano wa kimapenz na mtu ambaye hajawah kumuona na wanapendana sana kama vile walishaonana na je hapo kuna mapenz ya dhat na pia hudumu?

Kwa hiyo mkuu wangu unamaanisha lile jukwaa pale juu watu wanadanganyana tu!!!
 
...Yawezekana kabisa kukawa na mapenzi ya dhati na yakadumu kwa kipindi kirefu.

Last edited by a moderator:
...Yawezekana kabisa kukawa na mapenzi ya dhati na yakadumu kwa kipindi kirefu.

kweli BAK, hakuna mahali pameandikwa kuwa mpenzi utakaedumu nae ni yule utakaekutana nae kanisani tu. Watu wanakutana kwa njia tofauti tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana sana. Lakini kabla ya mapenzi mnahitaji kuwa marafiki wa kawaida kwanza kwa muda mrefu before kujiita wapenzi. Cyber love could turn out nastier. People can lie like no man's business!
 
Mimi nimempata dada m1 aliipenda sauti kwenye phone toka cku hy akavutika bt hatujawah onana zaidi ya picha tu.yeye yuko dodoma ndo natarajia kuonana nae soon cjui matokeo yatakujaje ngoja nisubil
 
uhusiano bila kuonana unawezekana tu,ni namna mnavyowasiliana basi hisia husika zinakuja,mfano humu ndani asprin na dark city mi nawaona kama babu zangu,kongosho namuona kama sehemu ya maisha yangu,kaunga nam-feel kama mwanamke flani well mannered,mr rocky the true brother,ktk maisha halisi siwajui lakini hisia hizo zimejengeka kwa namna tunavyogongana hapa,hivyohivyo mki-develop hisia za mapenzi bila kukutana mnaweza mkapendana kabisa,mkamisiana na kila kitu
 
Inategemea!na inawezekana Yan tena sana, na kumsoma mtu tabia b4 kuonana kwa % fulani inasaidia kusomana mioyo'(heart to heart connection)', na kama utavutiwa na personality yake, siku ukimeet physical appearance haitakuwa tatizo unless otherwise.
Ila ipo sana tu. Na hata usipovutiwa nae, haina haja ya kuzima simu,bora umfanye jus a friend..coz ni binadamu,ili usimumize hisia zake na ukapoteza kujiamini kwake. Kama una wasiwasi better not to be commited!!
Mke au mume utampata kokote,as long as n mpango wa Mungu muwe wote.
 
.. Catherine kuna ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha hili la watu kuwemo kwenye mahusiano ya kimapenzi pamoja na kuwa hawajaonana na wanajenga ukaribu kwa mawasiliano ya mtandao na baadaye kubadilishana namba za simu na hata picha. Na wengi walijaliwa kufunga mpaka pingu za maisha.

kweli BAK, hakuna mahali pameandikwa kuwa mpenzi utakaedumu nae ni yule utakaekutana nae kanisani tu. Watu wanakutana kwa njia tofauti tofauti.
 
Last edited by a moderator:
kwa hilo unawashaurije wanaume
waendelee kufahamiana na watu hata kabla hawajaonana lakini tunatofautina yaani mvulana ataridhika tu hadi atakapomuona amuweke wazi kwamba uhusiano watu utathibitishwa tukionana ili binti asijipe matumaini na mkionana siyo umkoshe kwanza ndy umfate au umkimbie,onana naye kama hauwezi kufanya nae uhusiano wa kimapenzi mwambie mtabaki kuwa marafiki tu wazuri kabisa!...
 
Mi kuna kabinti fulani tuliwahi kuwasiliana wakati hatujuani, wakati huo niko pale Mlimani mwaka wa pili 2007, kenyewe kalikuwa kanasoma A-Level huko Dodoma. Tulipofanikiwa kukutana nilikula kona ya hatari manake ilikuwa ni tofauti na mategemeo yangu. Alafu huwa wanalegeza sauti unweza kudhani ni wazuri ile mbaya.

Nakumbuka ishu kama hii the same year the same place,mshkaji alikuwa anasoma Bcom isijekuwa ndo wewe!
 
i dont blv on this, sometimes unaweza ukawa unawasiliana na jini without knowing, dunia imebadilika sana, huo ni mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom