Uhusiano na mtu ambaye hujawahi muona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano na mtu ambaye hujawahi muona

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jerry de Marco, Aug 27, 2012.

 1. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Bila mu wazima wa afya wana MMU,nin hutokea had unakuta mtu ana uhusiano wa kimapenz na mtu ambaye hajawah kumuona na wanapendana sana kama vile walishaonana na je hapo kuna mapenz ya dhat na pia hudumu?
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ni sanaa tu hapo kwa kwenda mbele, upendo wa kweli hudhihirika wakishaonana na kujuana tabia na mienendo! otherwise huwa ni kamchezo tu!
   
 3. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kumbe iko hivyo,daa ila kaz ipo
   
 4. Amanda

  Amanda Senior Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Inawezekana
   
 5. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii inategemea sana ila inawezekana sana mkapenda zaidi baada ya kuonana au mkachukiana baada ya kuonana'mimi nimewahi kupenda kwenye mitandao na mpaka leo niko nae huyo mpenzi sasa tuna miaka 3 na bado tunapenda sana tu yeye ni muwazi sana kama mimi
   
 6. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nguvu ya asili.Vipi bado hujamuona?
   
 7. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hongera xana kwa hilo
   
 8. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ila wasiwasi nilio nao ni pale wanapoamua kuonana maana utakuta ulivyodhan ndivyo kumbe cvyo
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, sijui
   
 10. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Lakini mpnz ya mtandaoni sio yakuamini sana kwa sababu sio sehem salama sana
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kuna viumbe wanajua kujilipua jamani...loh
   
 12. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mii ilinitokea nilienda ofc flani kwenye interview dah hiyo post sikupata ila jamaa alikuwa amefall so sinikaingia line dah nipo nae mpaka leo raha utamu , tunawasiliana online sana tu ,there is no special place to meet your loved one thats wat I do believe hahaha mnalooo magumegume
   
 13. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mimi kwa uzoefu wangu hyo inawezekana kwa msichana kumpenda mvulana bila kumuona kupitia mazungumzo tu basi akakupenda na mnakuja kuonana akiwa tayari ameshafanya maamuzi kulingana na jinsi ulivyokuwa unaongea,kujari kwako,kufanya maamuzi na vitu kama hivyo,lakini kwa mwanaume kabla ya kumuona atamuongopea hadi amuone akivutiwa naye ndy anafanya maamuzi vinginevyo anapotezea na hili huwatokea kwa sababu wanaume wanaongozwa sana na mvuto wa mwanamke,tofauti na wanawake kwa uhandsome siyo issue ila wanahitaji a real man hivyo akishajiridhisha ww ni real man hata kama hajakuona atakupenda.
   
 14. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ngoja wajibu waliokwisha win that kind of relation.
   
 15. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Inawezekana sana tena.
   
 16. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hujui? Mbona uliniunganishia kwa patina wako? Hahahahaha
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  duh! nimecheka sana
   
 18. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hyo ni kwel wanaume weng kufanya maamuz ni mpaka aone kwa macho ndipo aridhike
   
 19. Jerry de Marco

  Jerry de Marco JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbona ikitokea wakaonana na kukuta cvyo kama kila mmoja alivyotarajia hukimbiana
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ndio maana nikasema sijui kama ni right or wrong.
  Nachojua napaa kutokana na nguvu za upepo.

  BTW, msalimie yule uliyemtorosha jf.

   
Loading...