Uhusiano kati ya Man Utd na Uholanzi.

Uhusiano kati ya Man Utd na Uholanzi.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Kwa mnaofatilia kombe la dunia mtakuwa mnajua nini waholanzi wanakifanya chini ya kocha wake mahiri Van gaal, chini ya nahodha wake makini Van Perse, kwa mnaoweza kuunganisha dots mtajikuta mkifikia hitimisho kuwa Man U msimu ujao tunarudia siti zetu za mbele kwa wale tunaoangaliziaga mechi kwenye mabanda uswahilini.
 
Hakuna League kama EPL duniani, nasubiri kombe la dunia liishe na mimi nirudi kuangalia TV rasmi
 
Hakuna League kama EPL duniani, nasubiri kombe la dunia liishe na mimi nirudi kuangalia TV rasmi

mimi nasubilia mambo ya Van gaal tu pale Old Traford.
 
mimi nasubilia mambo ya Van gaal tu pale Old Traford.

Nje ya EPL sioni ladha ya soccer.

Hakuna wa kutuzuia EPL

Liverfluke anarudi nafasi yake, trust me

Van Gaal ataua watu.
 
Nje ya EPL sioni ladha ya soccer.

Hakuna wa kutuzuia EPL

Liverfluke anarudi nafasi yake, trust me

Van Gaal ataua watu.

Jilisheni upepo tu...timu yenu ndo kwanza inaundwa msimu. Kila kitu kipya afu mnajitoa ufahamu...kweli?
 
Jilisheni upepo tu...timu yenu ndo kwanza inaundwa msimu. Kila kitu kipya afu mnajitoa ufahamu...kweli?

Upepo gani?? Kwanza niambie team yako nikupe assessment ya season yenu ijayo
 
Back
Top Bottom