Leta documents zinazoonyesha kuwa media halali za chama/vyama...
Vyama vya upinzani havina hela ya coverage
Ridhika na kinacho endeleVyama vya upinzani havina hela ya coverage
Sisi wananchi tunaolipa vifurushi ndio tunataka..la sivyo watatazama na wake zao nyambafuLeta documents zinazoonyesha kuwa media halali za chama/vyama....
tatizo hamtaki kuambiwa ukweli halafu mnajitapa majukwaani "msemakweli ni mpenzi wa mungu!"Leta documents zinazoonyesha kuwa media halali za chama/vyama.
Tatizo unataka kulazimisha media kubwa nchini Kama hizo ziwe zinarusha maneno machafu kutoka kwa baadhi ya viongozi wa vyama ambayo yanaweza sababisha Hofu, Uchochezi, mpasuko, na mkanganyiko katika jamii/Taifa.
Hivyo Basi chama kinachoendesha shughuli zake kwa hekima na busara hasa katika maneno kwenye mikutano na matendo yanayofanyika kwenye mikutano hiyo, ndicho kitapewa kipa umbele katika habari maana kitakuwa kimekidhi maadili ya habari.
Note; Naunga mkono hoja kwa vyombo vya habari kupuuza habari zote za wanasiasa nchini zisizo na hekima, busara Wala sitaha ya maneno ndani yake.
Wewe ingelikuwa media yàko ungekubali kurusha habari au kuwa live na habari ambayo maudhui yake yanaligawa Taifa au yanalenga kumushambulia mtu kwa vijembe na matusi?.tatizo hamtaki kuambiwa ukweli halafu mnajitapa majukwaani "msemakweli ni mpenzi wa mungu!"
Mungu yupi huyo mnayemaanisha?!
yaani mnataka wtz woote nchi nzima tupongeze tuu...hii "akili" mmeitoa wapi?!.