Uhuru Uhuru Uhuru: Nini Siri ?

Uhuru Uhuru Uhuru: Nini Siri ?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
61,040
Reaction score
90,319
Umofia Kwenu wana JF,

Kumezuka tendency ya wasanii wa bongo kumshirikisha uhuru kwa sana,wasanii ambao wamemshirikisha uhuru ni madee,linah,mafikizolo etc,nikisikiliza hizo nyimbo hakuna sehemu aliyoimba zaidi ya kutamka jina lake tu basi na kuingiza katuni zake,

au ndio kama zembwela alivyosema wa-tz sie watu wa ajabu, kaja msanii hata hajui kusema yaani bubu lakini kapiga hela kwa ababababaabaaaaa babaaaaaa,sasa huyu uhuru wa uyuyuyaaaaaa achupuchaaaaaaaa ni kitu gani alichowaroga wana bongo flavor?
 
Teh teh teh...hii ndio tz ndugu na wasanii wetu ndio hao
 
kwa nnavyofahamu Uhuru ni producer kwa ile Uhuru Uhuru Uhuru ni km wengine wafanyavyo kutaja majina yao ktk kazi zao
 
Kwenye mziki kuna kitu kinaitwa voice mark kinamata sana kwa sauti soul wanayo yao mwisho kabisa wanakiweka kwenye kila nyimbo katamu sana,treysong anayo yake ambayo hata mwana fa alijaribu kuiga,g unit walikua nayo,alikiba pia anayo yake ni yeah popin up, kazi yake ni kujitambulisha tu sio mbaya wakiweka hizo sauti bila kuimba
 
Uhuru katisha sana hasa kwenye atchukutchaa

Btw uhuru uhuru uhuru ni jingle yake anayoitumia kwenye beats zake au ukimshirikisha..
 
Kwenye mziki kuna kitu kinaitwa voice mark kinamata sana kwa sauti soul wanayo yao mwisho kabisa wanakiweka kwenye kila nyimbo katamu sana,treysong anayo yake ambayo hata mwana fa alijaribu kuiga,g unit walikua nayo,alikiba pia anayo yake ni yeah popin up, kazi yake ni kujitambulisha tu sio mbaya wakiweka hizo sauti bila kuimba

Sawa kabisa mkuu, ni kama Lil Jon na "Yeeaah!, Whaaat!" au Lamar na "This is Fishcrab cookout, the talk of the town...awwww!"
 
Daah, speeeed nkijua le presidaa kafanya collabo na wabongo kabla hajafanya collabo na Jaguar..

Picha ya uhuru tafwadhalleee.... Cc Tyta
 
Last edited by a moderator:
Umofia Kwenu wana JF,
Kumezuka tendency ya wasanii wa bongo kumshirikisha uhuru kwa sana,wasanii ambao wamemshirikisha uhuru ni madee,linah,mafikizolo etc,nikisikiliza hizo nyimbo hakuna sehemu aliyoimba zaidi ya kutamka jina lake tu basi na kuingiza katuni zake,au ndio kama zembwela alivyosema wa-tz sie watu wa ajabu,kaja msanii hata hajui kusema yaani bubu lakini kapiga hela kwa ababababaabaaaaa babaaaaaa,sasa huyu uhuru wa uyuyuyaaaaaa achupuchaaaaaaaa ni kitu gani alichowaroga wana bongo flavor?

Anajidai naye ni David Gueta, hata jina lake hataji ni keyboard tu
 
King Kong uhuru ni producer kana anavyotajwa Marco chali au lamar kwenye nyimbo za wasanii
 
Sema Chege & Temba duh mpunga waliompa Uhuru hawajatenda haki bora wangempa Marco Chali au producer wa nyumbani mwingine,wameonyesha jinsi gani tunapenda kukariri.
 
Uhuru yuko vizuri....skiliza nyimbo mpya ya Madee na ya Chege na temba alafu uniambie. Ila jamaa mabiti yake yote kama yanafanana? Au maskio yangu?
 
Umofia Kwenu wana JF,

Kumezuka tendency ya wasanii wa bongo kumshirikisha uhuru kwa sana,wasanii ambao wamemshirikisha uhuru ni madee,linah,mafikizolo etc,nikisikiliza hizo nyimbo hakuna sehemu aliyoimba zaidi ya kutamka jina lake tu basi na kuingiza katuni zake,

au ndio kama zembwela alivyosema wa-tz sie watu wa ajabu, kaja msanii hata hajui kusema yaani bubu lakini kapiga hela kwa ababababaabaaaaa babaaaaaa,sasa huyu uhuru wa uyuyuyaaaaaa achupuchaaaaaaaa ni kitu gani alichowaroga wana bongo flavor?

Unamjua mtu anaitwa DJ Khaled?
 
ile ni jingle tu kama unavyosikia sarz on the beat au selebobo on the beat
 
Uhuru yuko vizuri....skiliza nyimbo mpya ya Madee na ya Chege na temba alafu uniambie. Ila jamaa mabiti yake yote kama yanafanana? Au maskio yangu?

Yap beat zake zote kama sawa,naisikiliza hapa huo wimbo wa madee ninakuchawise,ninakukawise uhuru uhuru kaunyakaaaa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom