Uhuru Uhuru Uhuru: Nini Siri ?

Uhuru Uhuru Uhuru: Nini Siri ?

Mkali kutoka manzese madee amchana live chid benz aache kula unga.Madee aliongea hayo maneno kwenye wimbo aliomshirikisha uhuru uhuru uhuru unaoitwa kaunyaka nanukuu "Ninakuchawise wewe jamaa wa ilala acha ngada uvute sigara ila usinimawise" kwa lugha ya ufasaha anamuhasa mkali wa ilala La Familia prezdent chid benzi aachane na matumizi ya madawa ya kulevya na kama akishindwa atumie tu sigara ila usije kunimaindi(usinimawise)
 
Duh hizi lugha hizi zinanimawize (zinanimaliza)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom