Kwa hiyo Barbarosa wewe ndio unajua anachokiongea Kenyatta kuliko yeye? Unajua haki za wakenya kuliko Kenyatta?Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?
Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
Uko obsessed na Kenya Tena?Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?
Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
unazeeka vibaya wewe!Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?
Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
Huyo mbwa kwenye avatar yako nia wa nassari mliyemuua?Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?
Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
Mkuu wanawashwa saana hao ficicmWe kereng'ende hebu kua Basi, Ni Nini unaendekeza maligi na watu wasiokuhusu? Huyo wa kwako anaejua job application anasaidia Nini Sasa.
Ulipiga kelele sana kuwa Kenyatta hawezi kuwa Rais sababu ulimtaka Raila rafiki wa Magu wako Sasa wakenya wenyewe hawamtaki wewe shida yako Nini asee, kwanini unatudhalilisha watanzania kwa akili zako Sasa?
Pambana na ya huku achana na wakenya. Wana serekali yao, tamaduni zao, Rais wao, demokrasia yao, tume yao ya uchaguzi na maisha yao.
Nyie watu wa CCM sijui kwanini mnaishi kwa majungu Sana yaani.
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?