Uhuru Kenya hajui shida, hajawahi kufanya job application!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?

Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,497
2,000
We kereng'ende hebu kua Basi, Ni Nini unaendekeza maligi na watu wasiokuhusu? Huyo wa kwako anaejua job application anasaidia Nini Sasa.

Ulipiga kelele sana kuwa Kenyatta hawezi kuwa Rais sababu ulimtaka Raila rafiki wa Magu wako Sasa wakenya wenyewe hawamtaki wewe shida yako Nini asee, kwanini unatudhalilisha watanzania kwa akili zako Sasa?

Pambana na ya huku achana na wakenya. Wana serekali yao, tamaduni zao, Rais wao, demokrasia yao, tume yao ya uchaguzi na maisha yao.

Nyie watu wa CCM sijui kwanini mnaishi kwa majungu Sana yaani.
 
Kwa hiyo Barbarosa wewe ndio unajua anachokiongea Kenyatta kuliko yeye? Unajua haki za wakenya kuliko Kenyatta?

Pole sana
 
mwaswast

JF-Expert Member
May 12, 2014
12,676
2,000
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?

Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
Uko obsessed na Kenya Tena?
 
Ze General

JF-Expert Member
May 10, 2014
1,481
2,000
Job application si ndio form yakuomba nafasi yakugombea.......
Rais wako yeye anaujua uchungu wa kutafuta ajira ebu muulize tangu kaingia madarakani amefukuza wangapi na ameajir wangapi...kama hutaona mzani wa kufukuza ukiwa mzito
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,070
2,000
Uhuru alifanya Job application ile ya kilele kabisa, ya kuwa rais wa Jamhuri tukufu ya Kenya na tukampa job. Sasa wewe hapo ghetto nyuma ya keyboard na uchizi wako wote huu unadhani una akili zaidi ya wakenya milioni karibia tisa?
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,129
2,000
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?

Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
unazeeka vibaya wewe!
 
Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,712
2,000
Aafu unamchukulia kishamba sana, jamaa anaelewa nini anafanya. labda plan zikifeli hapo sawa lakini jamaa anatazama mbali zaidi kuliko unavyodhani
 
Angelo007

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
1,806
2,000
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?

Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...
Huyo mbwa kwenye avatar yako nia wa nassari mliyemuua?
 
Hydrazin

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
253
500
Kweli unaweza kum-devalue mtu kutokana na anachokiandika tayari mtoa mada nishamuweka kundi fulan
 
Facilitator

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,283
2,000
Hili linunda Barbarosa limeharibiwa mawazo na lichama lake CCM na mwenyekiti wao. Mnadhani shida ndio kipimo cha utu bora na sifa ya uadilifu. Yaan maccm ni kichefuchefu tuu
 
Mr Makunduchi

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
1,006
1,500
We kereng'ende hebu kua Basi, Ni Nini unaendekeza maligi na watu wasiokuhusu? Huyo wa kwako anaejua job application anasaidia Nini Sasa.

Ulipiga kelele sana kuwa Kenyatta hawezi kuwa Rais sababu ulimtaka Raila rafiki wa Magu wako Sasa wakenya wenyewe hawamtaki wewe shida yako Nini asee, kwanini unatudhalilisha watanzania kwa akili zako Sasa?

Pambana na ya huku achana na wakenya. Wana serekali yao, tamaduni zao, Rais wao, demokrasia yao, tume yao ya uchaguzi na maisha yao.

Nyie watu wa CCM sijui kwanini mnaishi kwa majungu Sana yaani.
Mkuu wanawashwa saana hao ficicm
 
McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Huyu jamaa Raisi wa Kenya amenishangaza sana, kwamba kila foreigner ruksa kuwa na haki sawa na Mkenya, hivi anajua hata anachokiongea kweli?

Nafikiri anafikiri maisha ni Picknick, kwa kuwa yeye kazaliwa na kukuta kila kitu anafikiri kila mtu ni hivyo na aliyebakia nyuma ni kosa lake, Wakenya mnastahili Raisi bora zaidi ya huyu playboy, I mean huyu jamaa ni hawastahili, hajui kuna watu hata chai asubuhi ni shida, ...

Uyu ambae amewahi fanya job application amefanya lipi?mbona ameshindwa kutoa ajira kwa lundo la vijana tena bila aibu alikubali hadi madaktari wetu waende wakaajiriwe Kenya,pamoja kujitanabaisha kua anaujua msoto wa mtumishi wa umma ameshindwa hata kuongeza maslahi bora na mpaka kesho anakojolea stahiki za watumishi bora hata Uhuru kuliko hili janga letu ambalo tunapambana nalo bora siku ziende.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom