Uhuru katika Mahusiano?

Haingaiko la kumpata anayekufaa < Haingaiko la kutokuwa naye
Hiyo haiapply kwa kila mtu mkuu! Kwangu mimi being single and enjoying my own company is all i need!

By the way after God the next thing i worship is My FREEDOM! I just can't compromise on it for ANYTHING!

Kama mahusiano ndiyo yanataka hivyo anavyosema mtoa mada basi nitashindwa! Na ndiyo maana naona bora niwe single!
 
One day yes. Siku ukipata sehem umependa kwa dhati you will not question your self about freedom.

Hujambo. Appy new year
 
Mtu akishajua unampenda umekwisha wallahi yaani atakupasua hilo bichwa

Kisha atakuzungusha kama mpiga picha na hakuna kitu utamfanya zaidi sana utajichatisha
Mapenzi yafanye kama starehe tu utaenjoy lakin ukiyafanya kama ndo maisha yako apo lazima yakupasue kichwa
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Pole ! Naona yamekukuta .
Don't mind it will come to pass
 
Your conclusion said it all
 
Ni kwambie kitu...
Fanya usepe hapo unasubiri uambiwe hutakwi?
 
Mapenzi yafanye kama starehe tu utaenjoy lakin ukiyafanya kama ndo maisha yako apo lazima yakupasue kichwa
Hahaha watu wanakuambia mapenzi ndiyo maisha halafu wewe unawaambia wayafanye kama starehe tu? Hawatakuelewa mkuu!
 
Give yourself a break
It's obvious you are not loved. However, there's such kind of forks are always cold and somehow ironic
 

Polee Mkuu, Mi ni therapist by professional. Ila pia nina sifa kama zako ilq kitu kingine ninacho labda wewe huna mie nina Wivu aseee daah [emoji3][emoji3][emoji3] hadi sijui nifanyeje kudhibiti hii hali. Kama vipi hebu uje PM tujadili mawili matatu huenda ikakusaidia
 
Hapo kwenye kuchoose wisely sasa ndipo mtihani ulipo! Mie ndiyo maana nimeona bora nihangaike na maisha yangu tu sitaki kuhangaishana na mtoto wa mtu aise!
Kwahiyo bibie uko single kabisa ? Yaani single ile ile single kabisa ?

Aisee kuna vitu ni vigumu sana usingle siuwezi kabisa, sijui unaishije yaani unawezaje kuwa single ?
 
Kwahiyo bibie uko single kabisa ? Yaani single ile ile single kabisa ?

Aisee kuna vitu ni vigumu sana usingle siuwezi kabisa, sijui unaishije yaani unawezaje kuwa single ?
Ndiyo yaani niko single kabisa! Kila kitu ukiamua unaweza ni wewe tu!
Naomba kukuuliza mtu ukiwa single kwa muda mrefu how can you live without doing sex..? Cz binadamu aliyeumbwa akakamilika sex ni kama sehemu ya basic needs.

Au njia gani unaweza kutumia kutofanya hivyo muda wote hisia zikikujia.
 
Hakuna mapenz hapo ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…