Uhuru katika Mahusiano?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sisi tuling'ang'aniaga tu kama piston zinavyong'ang'aniaga kwenye block ila mwisho tulikubali yaishe tu. Ni swala la muda tu.

Milango iko wazi mrembo, jamaa nahisi alitumia cha mkongo huyu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eh komaa tu mzee, usikubali kushindwa tambua unawakilisha wanaume wa JF
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sisi tuling'ang'aniaga tu kama piston zinavyong'ang'aniaga kwenye block ila mwisho tulikubali yaishe tu. Ni swala la muda tu.

Milango iko wazi mrembo, jamaa nahisi alitumia cha mkongo huyu[emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...Aiseee umeenda mbali Sanaa...
 
Mahaba niue...niponde ponde kama nyanya...hadi nkose cha kufanyaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwimbo wa sauti Sol..unasema " I remember you refused to kiss me now you using my tooth brush"..

Hayo mahaba naona itakuwa level..ambayo sijafika
 
Hahahah hio kiboko, yani utumiege mswaki wa bebe.πŸ˜‚
 
Halafu wewe unaonekana jeuri kishenzi. Jamaa anakuzoom tu. Kama ni kweli ulichokielezea ni ukweli basi jiandae kwa maumivu ya karne.
 
Siamini mwanzo wa bandiko nilikua naliaa ..mwisho wa bandiko NAJICHEKESHA MWENYEWE...

Yaani hata kuvunga nimeshindwa... EMBARRASSING
 
Mmh hapo hamna kitu, jiongeze tu aisee hizo red flag zinatosha
 
Halafu wewe unaonekana jeuri kishenzi. Jamaa anakuzoom tu. Kama ni kweli ulichokielezea ni ukweli basi jiandae kwa maumivu ya karne.
Doooh.....nitaongea nae kuhusu Hilo
Kama akishindikana kubadilika. Itabidi nifuate Mambo mengine...
 
Halafu wewe unaonekana jeuri kishenzi. Jamaa anakuzoom tu. Kama ni kweli ulichokielezea ni ukweli basi jiandae kwa maumivu ya karne.
Sio maumivu ya karne..ya decade tunaanza new decade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…