Uhuru katika Mahusiano?

Basi kupenda kwake Ni kwa ainayake....atakuwa na Upendo ambao upo tofauti Sana... Upendo wa kujiangalia Wewe na Mambo yako...97% alfu 3 % tunawapa wengine woote wanyang'anyane
 
Haya noted
 
Mh Jambo lako ni gumu jmn,ila kuna kauli nimewahi kuisikia inasema hakunaga ubussy kwenye mapenzi ,,,,km unapiga simu Mara zote hizo mtu hapokei kuna tatizo hapo hamna cha uhuru Wala nn
Sasa Tanzania ilidai Uhuru ikapewa... Kama mtu anataka Uhuru ... Na awe huru TU.... yanini kuhangaisha... Na Kama ratiba zake nyingine Ni muhimu Sana... hawezi zivunja kwa ajili yangu...HAO ndo wanampa Uhuru....so Aelekee aliko elekea tu
 
Nlipokuona tu juzi kwenye bandiko langu la waliochuniwa nikajua kuna shida mahali
Maana muda ule kwa aina ya watu kama wewe mngekua mbali sana mnapata wine ya zabibu.

Itakua labda una asili ya nyodo so ulipomuonesha jamaa mwanzoni akawa anakuzoom sema akaamua kupambania kombe
kwa kuwa amelipata ni muda sasa wa kuanza kukupangia kikosi B.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Umetisha kwa maneno yako
 
Ni kubwa ndio na ndio wanaume wengi walivyo Yan asilimia imeendana na uhalisia waongo waongo waongo waongo waongo waongo waongo kupitiliza
Bado wanaume tusio na uongo (mwingi) tupo bana.

Na tupo wengi kuliko hiyo namba uliyotupatia.
 
Sisi tumeoa pasi ba kuwa na mahusiano na tuko na wake zetu mpaka leo.

Njia mnazo pitia zina matatizo mengi sana.
 
Kwa jicho la uhalisia.
 
Hamna kitu Kama icho hakuna dunia hii we mwenyewe muongo tu si unaona umekiri mwenyewe hapo
"Tusio na uongo mwingi tupo" yani hamuezi kuishi bila uongo cjui mpoje [emoji3525]ovyo
Hakuna binadamu asie muongo, ndio Maana nimesema hivyo.

Muhimu ni kuangalia Kama huyo mtu anakupenda kweli. Kama mtu anakupenda akiwa muongo inakuwa ni kwa sababu ya makosa ya kibinadamu.
Ataomba radhi, yataisha.

Pia hua kuna usemi unasema kwamba "mwanamke bila kumdanganya kidogo humuwezi."
 
Kwa hiyo hakuna mapenzi bila uongo [emoji16][emoji16][emoji16]

mm najua hivo nijuavyo

Tufanye t yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…