Uhuru FM imechoka hadi ofisini.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,948
709
Wadau, kweli CCM imechoka............kwa kuwa TBC imebaki kuwa chombo kikuu cha propaganda cha CCM basi Uhuru FM imebaki kuwa si chochote. Angalia kiti alichokalia Mkurugenzi wake Bro. Mikidadi kilivyochoka.

M.JPG
 
afu mijamaa iangalie imenenepeana na bado inakunywa soda hapo...mitanzania haijionei huruma.....
 
Yoyo,
Umekuwa kwa mara kadhaa ukiwahadaa na kuwatusi watanzania,
mfano; Mitanzania mivivu (in one of your last week's post), na hiyo hapo kwenye red pia ni dhihirisho tosha. Wewe kuwa mKenya isiwe taabu, tunajivunia Utanzania wetu ila jirekebishe nchi yetu hatujazoea kuwatusi wenzetu/majirani.
 
ndio maana mko gizani,maskini,akili hamna....kudadadeki na raisi wenu ndio kilaza afrika nzima....
 
Waache wafulie,kwa nini wasingeiboresha ikae kibiashara zaidi kuliko kuishi kwa mipasho?Kumbe Bro. Miki yuko mtaa huu?
 
Huyo jamaa wa kwenye kona kushoto yupo kama kuna kitu anaogopa toka kwa huyo anaeongea! Au muongeaji anapiga fix?
 
Waache wafulie,kwa nini wasingeiboresha ikae kibiashara zaidi kuliko kuishi kwa mipasho?Kumbe Bro. Miki yuko mtaa huu?

Kama wangefuata miiko ya biashara, nina hakika wangeweza kujiendesha wenyewe. Lakini tatizo walishakunywa maji ya kijani (maji ya bendera-CCM) basi hawawezi kabisa kufanya la maana zaidi ya kukumbatia magamba.
 
dah jamani hii post imenichekesha hahaaaaaaaaaa kweli redio uhuru kwishnei wamejikuta wanasikiliza wao tu
 
Waache wafulie,kwa nini wasingeiboresha ikae kibiashara zaidi kuliko kuishi kwa mipasho?Kumbe Bro. Miki yuko mtaa huu?

Kama sio serikali kulazimisha ofisi zake zinunue gazeti la Uhuru na kupeleka matangazo yake huko nalo lingekuwa limeshajifia siku nyiiingiii!
 
Wadau, kweli CCM imechoka............kwa kuwa TBC imebaki kuwa chombo kikuu cha propaganda cha CCM basi Uhuru FM imebaki kuwa si chochote. Angalia kiti alichokalia Mkurugenzi wake Bro. Mikidadi kilivyochoka.

M.JPG

jamani hata kiti kiko kichakavu kiasi hicho, lool!
 
Hiyo ni normal wear & tear jamani. Kumbukeni hiko ni kiti si urembo, and as long as mhusika anaweza kukaa comfortably, basi tunaweza kusema kazi ya hicho kiti imekamilika. Punguzeni ushabiki wa kijinga.
 
Back
Top Bottom