Uhuru FM imechoka hadi ofisini.

Yoyo,
Umekuwa kwa mara kadhaa ukiwahadaa na kuwatusi watanzania,
mfano; Mitanzania mivivu (in one of your last week's post), na hiyo hapo kwenye red pia ni dhihirisho tosha. Wewe kuwa mKenya isiwe taabu, tunajivunia Utanzania wetu ila jirekebishe nchi yetu hatujazoea kuwatusi wenzetu/majirani.

Mkenya wapi wewe...huyu mtanzania anakaa hapo kwa mtogole...sijui nani kamwambia kujiita mkenya ndio sifa,ukisoma kiswahili chake anachoandika,utakubaliana na mimi moja kwa moja
 
Kwisa kasi!

Hizo ndo miscalculation kwenye investment . Ni sawa na wale wanaowadanya Chadema kuanzisha TV, Radio au hata gazeti la Chama. Chadem wasiingie kwenye mtego huu wa kujidanganya kuanzisha TV , radio au hata gazeti lao.

Ni over head cost za kijinga kwa chama Siasa kuanzisha chombo chake cha habari. Mwisho wa siku kuna wengine nao watafkiria sababu wana vyombo vya habari basi waanzishe vyama vya siasa.
 
kijana yeyote ukimkuta anahold ccm mayowe basi ni mhongwa teyar but anakua na ukwel rohon mwake,like or nt fisadi wewe unaebisha
 
Back
Top Bottom