Uhuru awaita ' wale' majaji majambazi

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Amesema hana wasiwasi wowote wa kurudia uchaguzi na kuwaita wale majaji ni majambazi. Aliyasema hayo wakati akilihutubia bunge ktk ufunguzi wake. Jaji Mkuu wa Kenya hakuhudhuria sherehe hizo kwa madai kwamba wao kama majaji hawajaalikwa. Source BBC Dira ya Dunia!
 
Jamaa zetu walimsifu sn kuwa baba demo, leo tena kasema odinga hata akishinda hatokaa kwa kuwa watamuangusha bungeni. Kiukweli hizi siasa africa kufata mkumbo .
 
Jamaa wanamtusi rais wetu Uhuru Kenyatta ili tu wajihisi ni mababe kweli! Wanajua wakidhubutu kufanya hivyo kwa mkulu wa upande ule mwingine wa pili. Mamaeeh! Ngoja tarehe kumi na saba swahiba zenu huku Kenya tutawanyamazisha hadi waje na zile sura zao za kangaroo huku wametuliiia. Sasa hivi tuko kwenye kampeni! Kelele na hoja zero na mbwembwe mwitu kama kawa ni kutoka kwa NASA!
 
Mna mengi ya kujifunza maana nchi yenu inaendeshwa kibabe sana, kila mtu hadi spika ana mikwara noma noma, hebu tazama hii video.

Sikumsikia huyu spika aise, sasa naona wanaojivika umungu mtu Tanzania ni wengi mkuu
 
Back
Top Bottom