Haishindi ya wale kutoka Ukerewe...hawa wamepata Air time ya kutosha,,sijui kwa 7bu ni wageni!!!!!
Rejea comments zako ndio utajua wapi ulipokuwa unamsifia. Pia, ni uhuru gani huo unaotaka sisi wengine tusiuhoji? Mbona wewe umehoji/kukosoa comment yangu, au ni wewe tu mwenye uhuru? BTW: Sihitaji heshima kutoka kwa punguani kama wewe! Nonsense!(1) Sijamsifu JK,ni wapi nimemsifu..wat I did ni kutoa contributions zangu tuu..so iyo hoja ya aisifuye mvua imemnyea ni ya kipumbavu
(2) Lakini hii JF inaheshimu uhuru wa mawazo,usitake unavyovipenda ndo vijadiliwe tu,ni upunguani
(3) Kuwa na adbu usifikiri kutusi binadamu wenzako inakuongezea chochote rather inakupunguzia heshma
Amani na Utulivu: Tangu tupate uhuru, viongozi na waislam watz wamekuwa wahanga kwenye vyombo vya dola tofauti na waumini wa madhehebu mengine. hii imekiwa kinyume na wakoloni ambapo wakipambana na machifu na sio viongozi wa dini
ELIMU: shule zao nyingi zimetaifishwa na hata serekali ilipotaka kufanya makubaliano MOU waislam haikuwazingatia.
NECTA imekuwa kero kubwa kwa waislam
VYOMBO VYA HABARI: Hata hizo redio chache ziliziokuwepo zinapigwa vita kwa visingizio vya Uchochez
MAENDELEO. WAMEANZSHIWA BAKWATA ili kurudisha nyuma gurdumu la maendeleo
mtangazaji wa tbc1 kanichefua sana!eti mojawapo ya maendeleo ni treni ya ubungo-posta!jee ni km ngapi za mkoloni tumeua?
Rejea comments zako ndio utajua wapi ulipokuwa unamsifia. Pia, ni uhuru gani huo unaotaka sisi wengine tusiuhoji? Mbona wewe umehoji/kukosoa comment yangu, au ni wewe tu mwenye uhuru? BTW: Sihitaji heshima kutoka kwa punguani kama wewe! Nonsense!
Tayari mimi ni maarufu siku nyingi tu, tena sio hapa JF tu bali Tanzania yote. Umeparamia kisiki ukidhani na wote hapa tuna akili ndogo kama zako!Uyu nae unatafuta umaarufu JF.
"THANK YOU SO VERY MUCH"By JK. Samahani mimi nimesoma shule ya kata hivi hii sentensi ni sahihii eenh?