UHURU 51: Baadhi ya yanayojiri uwanja wa Uhuru

Nyingine hii "i am standing infront of every body else" hii ilikuwa ndo intro ya president wetu.

Hakusema "infront" alisema "m standing before".. Amekosea kidogo kusema "everybody else" it could be enough kusema " m standing before you" (you ikasimama kama kiwakilishi cha watu)..
 
Mhh.. I think JK made an informal speech so kama umesoma language kuna kitu kinaitwa stylistics..inaruhusiwa kubreak rules za language in whatever ways but ultimately I make sense au ujumbe ueleweke! NAKUJIBU: JK yupo corect kabisa..katika mazungumzo unaweza kusema SO MUCH ikatosha but puting SO VERY ts just informal language hata ukienda wale ama scortland wanazungumza... Obama mwenyewe ndo anaharibu kabisa kiingereza.


Nimekwambia nimesoma shule ya kata wewe unaniambi mambo ya scotland, hebu niombe radhi! (It's a joke).

Shukrani kwa ufafanuzi mkuu si unajua tena lugha za watu hizi wengine tunajua yes na no baasi!!
 
Jamani kuna katoto ka miaka 3 kanakumuta ngoma kama hakana akili nzuri,Nimekapenda sana kwa kweli,
 
Nape na Mwigulu wanapenda sifa sana...eti wametoka jukwwani kwenda kukatunza katoto kapiga ngoma
 
Nimekwambia nimesoma shule ya kata wewe unaniambi mambo ya scotland, hebu niombe radhi! (It's a joke).

Shukrani kwa ufafanuzi mkuu si unajua tena lugha za watu hizi wengine tunajua yes na no baasi!!

Hahahahaa samaahan mkuu..ila I was expecting JK amekua waziri wa mambo ya nje kwa mda mrefu atlist angetengeneza speech kali yenye mvuto..ilikua ya kawaida afu mother tongue ilikua kubwa alivyokua anazungumza..any way english is not our first language
 
Nimefurahishwa sana na wimbo ulioimbwa na alaiki ya watoto zaidi ya 200 wameisifia Tanzania kwa kila hali kwa umakini na ukakamavu mkubwa naimani hii haitafutika katika kumbukumbu zao. Na hakika hakuna mtoto hata mmoja wa skul bus pale.

wa skuli bus afate nini kwenye huo utumbo? Waaohuzuria ni wale wajukuu wa wazee wa darslam a.k.a wajukuu wa wazee wa gahawa
 
Miaka 51 ya uhuru TBC hawana kamera ya kuonyesha kutoka juu, tumeshindwa kushuhudia maumbo halisi ya halaiki
Star TV wamejitahidi kuonesha kwa aerial view....hasa wale halaiki waliokaaa jukwaani
 
Unavyomsifia M.k.w.e.r.e utadhani mmeo! Ama kweli aisifuye mvua imemnyea!!

(1) Sijamsifu JK,ni wapi nimemsifu..wat I did ni kutoa contributions zangu tuu..so iyo hoja ya aisifuye mvua imemnyea ni ya kipumbavu
(2) Lakini hii JF inaheshimu uhuru wa mawazo,usitake unavyovipenda ndo vijadiliwe tu,ni upunguani
(3) Kuwa na adbu usifikiri kutusi binadamu wenzako inakuongezea chochote rather inakupunguzia heshma
 
Huyu mtoto anayecheza ngoma na kupiga ni balaaa...ndo aliyenifurahisha zaidi..ni wa kisukuma

uhuru wa nani vile???nchi gani vile??raisi wake nani vile??bendera ina rangi gani vile? wimbo wa taifa unaimbwa je vile??
 
Mwaka wa pili huu, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda hawapo kwenye sherehe za uhuru! Jamani marais wa Kenya na Uganda - na hasa Museveni kashindwa kuhudhuria? How about South Sudan?

Kuhusu utambulisho aliofanya rais Kikwete. Hivi alikuwa anawatambulisha kwa watanzania au alikuwa anatuma message kwa wakina Museni, Kibaki na Kagame?

Hata hivyo, kwa ujumla, gwaride, halaiki na hata vikundi vya ngoma kwa mwaka huu wamefanya vizuri kuliko sherehe za miaka 50. Mwaka jana ilikuwa mbaya sana, kuanzia gwaride, hadi halaiki ya kichina lakini funga kazi ilikuwa usanii wa kina Martha Mlata. I hope mwaka kesho wataboresha vizuri zaidi.
 
Nini Message ya kikundi cha ngoma katika sherehe zetu za Uhuru. Ngoma yenye maudhui ya kivita, kwa walio tazama. Mbele ya Rais Joseph Kbila, huku Rwanda wakiwa hawakuleta high profile leader Yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom