Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Nimemshangaa pia mimi ningegeuza pale pale...mambo ya kumfanyia majaribio mwanangu sitaki.Mkuu kwanza wewe una tatizo
Unakutana na mtu zaidi ya mmoja analalamikia tatizo lile lile bado unampeleka mgonjwa wa shida ile ile
Tukikuita mpumbavu tutakuwa tumekosea?