Uhuni wa Hospitali ya Jeshi Lugalo

Uhuni wa Hospitali ya Jeshi Lugalo

Status
Not open for further replies.
Na wewe una moyo wa zaida:
Mtu kwa kwanza analalamika mkono wa nwanae umeungwa vibaya
Mtu wa pili analalamika mkono wa mwanae umeungwa vibaya

NA WEWE UKAONA NI VEMA UJARIBU , UTHUBUTU, UDIRIKI
 
Sasa ww ulijua kuna tatizo ulimpeleka mwanao ili iweje?!
 
ndege yetu jaman ingesaidia kututibia wanetu
 
inauma wanadamu tunavyochezea uhai wa mtu na kufanya ndio vyanzo vya kupata pesa.
 
Pole sana mkuu.
Yani hii nchi hii. Wanageuza majaribio kwenye miili yetu na ya watoto wetu?
Kwa vile ni Jeshini nadhani hata Wizara haitafuatilia. Maana Jiwe alishawahi sema kuwa kile kivuko chake kibovu anakipeleka jeshini sasa ole wake atakayekiandika.
Jiwe
 
Kila nikikumbuka kile kisa cha wanajeshi kutoboa Mv Bukoba huwa sina imani na akili za wanajeshi hata kidogo.
 
Swali kwa mleta mada-Je hapo lugalo walitibiwa watoto watatu tu wenye tatizo la mifupa?
Huyo wa kwangu na wengine wawili niliyowaona wakiwa na Mama zao. May be kuna wengine. Ila kuna malalamiko mengi. Kama ni mfuatiliaji utayapata mengi. Binafsi nilipaamini Lugalo tangu nasoma chuo 2000s.
 
Hospital za Jeshi ni kwenda kupata First Aid na kuchukua rufaa kwenda hospital kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom