wewe uhamasishe kuchoma vitu vya watu ambao wanatafuta kwa shida alafu useme unaonenewa?
hasira za kuiba kwenye maduka ya watu? hasira za kuchoma huduma ambayo wewe mwenyewe unaitumia? huo ujinga lazima ufike mwisho na hakuna kucheka na mtu! umekopa pesa kujenga mwendo kasi wewe unachoma hio ndo unasema hasira?
2) ccm ina makosa gan? umekataa mwenyewe kwenda kwenye uchaguzi alafu utulaumu sisi, mzee risasi zitaendelea za kutosha
Ma

Makosa ya CCM ni kuhalalisha ufisadi,kuiba uchaguzi,kuua na kukamata wapinzani,uongozi mmbovu, nchi ni Tajiri lakini utajiri hauwanifaishi watanzania.tumeamka na lazima wahuni mpotee