Nafasi ya Kazi Afisa Masoko

ematec

New Member
Oct 1, 2018
4
45
EVOTEC LIMITED: Ni Kampuni inayojishughulisha na masuala yote ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliwano ikiwemo Matengenezo ya vifaa, Ufungaji, na Uboreshaji wa Mifumo yote ya Computer, usambazaji na Uuzaji wa Vifaa vya Electronics.

Kampuni imesajiliwa na Brela kwa No:151571492 na inapatikana Kasulu Mkoa wa Kigoma.

Kampuni inatangaza nafasi moja (1) ya Kazi ya Afisa Masoko.
Awe na Sifa zifuatazo:-
1. Awe na Elimu ya Diploma ya Biashara au Ugavi.
2. Awe na uwezo wa kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha.
3. Awe amesoma Computer angalau Mwaka mmoja.
4. Awe mwenye kujiamini na mwenye uwezo wa Kumshawishi Mteja.
5. Awe na miaka Kati ya 25 - 35
6. Awe na udhoefu katika kazi hii so chini ya miaka 2.
7. Awe tayari kwenda mkoa wowote Tanzania kutafuta wateja.

Majukumu Yake ni:-
1. Kutafuta wateja na kuwaorodhesha Katika rejista ya wateja.
2. Kumshawishi mteja kwa kutumia kauli nzuri au namna yoyote Ile kwa kutumia busara na uzoefu wake.
3. Kutoa Taarifa kila mwezi ya Utekelezaji Kwa Mkurugenzi.
4. Kusimamia shughuli zote za mauzo, manunuzi na bidhaa.
5. Kusambaza Vipeperushi na Vitabu kwa wateja na sehemu za maonyesho ya Biashara.

Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 25/05/2021.

Barua zote zitumwe kwa barua Pepe ifuatayo:. zacool.ema@gmail.com.

N.B: Wenye Sifa ya Uchangamfu kwa Wateja, utashi na ushawishi wa Maneno watapewa kipaumbele zaidi. Bila kujali Sifa zingine.
 
mkulungwa03

JF-Expert Member
Apr 1, 2021
202
250

Washaona Tangazo
Ngoja waje
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,128
2,000
Yaani mnajishughulisha na maswala ya Teknolojia lakini mnatumia gmail account? Why msiwe na domain ya kampuni ili kuonyesha umwamba wenu?

Vitu vidogo vinaweza kuwashushia credibility na wateja kutafakari juu ya ushindani wenu.

Anyway, kila la kheri.
 
ematec

New Member
Oct 1, 2018
4
45
Yaani mnajishughulisha na maswala ya Teknolojia lakini mnatumia gmail account? Why msiwe na domain ya kampuni ili kuonyesha umwamba wenu?

Vitu vidogo vinaweza kuwashushia credibility na wateja kutafakari juu ya ushindani wenu.

Anyway, kila la kheri.
Hilo linashughuliwa Mkuu, Wala sio kigezo Cha kuifanya Kampuni kushindwa kuendelea na Kazi. Domain ipo njiani Mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom