Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,073
Watanganyika Nawasabahi .Nimekuwa najiuliza Sakata la TUNDU LISSU na MO DEWJI Watu hao Mmoja alipigwa Risasi Dodoma Makao Makuu ya Nchi Mchana Kweupe kwenye Lango la Nyumba aliokuwa anaishi na Baadhi ya Mawaziri Nyumba yenye KAMERA za Usalama lakini pamoja na Vyombo vyetu vya Usalama kuwepo Mpaka leo WATUHUMUWA hawajakamatwa
Tukio lingine ni la mfanyabiashara mo dewji kutekwa asubuhi jijini dar es salaam na baadae kutelekezwa lakini wahusika wa tukio hilo mpaka leo hawajakamatwa licha ya kuwa na vyombo vya usalama.Najiuliza
Je, ni kweli Serikali imeshindwa kabisa kuwakamata wahusika au haitaki?
Kama imeshindwa kwanini isiruhusu vyombo vya nje vije vifanye upelelezi na kuwabaini wahusika?